Diamond atanua na Diva tajiri East Africa nzima

huyo dada hana njaa ya vixen ana uwezo wa kuwalisha domo na wema na koo zao hadi uchaguzi wa 2020 hapo bosslady kanasa ulimboni

hana njaa kabisa.......dada yupo kileleni mbaya........hebu tusubiri tuone.......maana hapa hata Wema atakunja mkiyaaaaaaa...........Zari ni shiderrrr........
 
Thank you Diamond for this project
Africa get ready. Caption
Hapa kuna jambo moja... inawezekana kwamba ni project au ndo vile tena manake hata project ya Wema na Diamond waliyofanya China ilikuwa hivi hivi... bado haijatoka na haitatoka! Lakini hata kama ni project, huyo Zari kaamua kuwakomoa wambeya... we project gani hata production crews haionekani??!!! Watu wanapenda kutiana bp aisee... dah!
 
Yaani wewe jamaa ni mtu wa ajabu... picha uzitoe kwenye akaunti ya Zari halafu hapa useme Diamond ndie kazitoa hizo picha...

Just FYI: Ukinizingua, nakuzingua... ukinipa za tumbo nakupa za chembe, otherwise, Peace and Love!
 
Just FYI: Ukinizingua, nakuzingua... ukinipa za tumbo nakupa za chembe, otherwise, Peace and Love!
Hiyo ni kwa wale ambao utakuta wanaibuka from nowhere na kuanza kukushambulia bila sababu only because unaamini kinyume na vile anavyoamini yeye... ukisema tofauti na anachotaka yeye kusikia basi inageuka nongwa... kwahiyo no way out, ukinizungua nakuzingua....
 
Kwakuwa Nina mapenzi na Wema point yoyote nitakayoweka kuhusu dai hata iwe ya maana vipi itaonekana si kitu. Ila dai angekuwa kaka au Mdogo wako alafu aparamie huu mlima wa madume ya miaka 16 lazima mngemuonea japo huruma. Ila wanadai ni shooting ya wimbo wa ananijia ndotoni.

Naona kuna watu wanajitahidi kuniquote ila sitowajibu kamwe...
 

Attachments

  • 1415520213818.jpg
    42.4 KB · Views: 313
Awe makini UKIMWI upo pia. Hatutaki akifika kwenye peak ya muziki wake kimataifa ndio afya ianze kusumbua.
 
Mwanaizaya anafaidi huyu...,
kashaliwa huyo.

Sana mpwa, hili fi.si maji linafaidi sana, roho imeniuma sana hasa picha ya mwisho binti alivyogonoka!
 
Umhhh hio project hata mi nmeipenda he he he he ... acha movie iendelee ... yaani washatufanya sisi watoto wadogo. .
 
Sana mpwa, hili fi.si maji linafaidi sana, roho imeniuma sana hasa picha ya mwisho binti alivyogonoka!

Hujapenda hii.......
 

Attachments

  • image.jpg
    9.5 KB · Views: 1,268
Usi-mind bhana labda kama mtu anaku-attack, hapo huwezi kulemba au kujifanyisha Mother Theresa... Mtu akikuzingua, unamzingua...!

Back to haya mambo ya projects... uzoefu unaonesha projects za Diamond tunaishia kusikia tu kwamba mara shooting, mara movie lakini huwa hatuzioni zikitoka!!! Hebu nisaidie, hivi ile "movie" ya Wema na Chibu ambayo waliifanyaga China kipindi kile wamebwagana, hivi ilishatoka kweli ile?? Manake it's almost two years now!!
 

Production crew ya nini... hiyo nyingine yaonesha kama wako studio vile....

All in all ngoja tuendelee kungoja kuona hiyo ni project gani???
 
Production crew ya nini... hiyo nyingine yaonesha kama wako studio vile....

All in all ngoja tuendelee kungoja kuona hiyo ni project gani???
Labda ile event ambayo Zari anataka kuifanya december... may b
 

Hahaaaa ila mie nampenda Wema kwa hiyo zile picha duh nilijisikia vibaya kweli....
Kumpenda Wema hakunifanyi nianze kutukana watu kama wale wa kule Instagram.

Sa kuna mmoja wameanza kumtukana anaitwa dalalimwanamke.. anapata matusi ya ajabu huko balaa. Kisa alikua anasema bora Domo awe na Zari sio Wema
 
Wabongo bongo bwana bado picha inawatoaga fahamu! Sijui ni washamba wa picha! Hivi mastar wangeanza kuact movie za porno! Haya someni vizuri muache cheap rumours
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…