Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
mi km anatoka nae saaf mana wema alijiona ye ndo malkia wa kila kitu
Binafsi kuhusu Wema nipo kati kwa kati... sina sababu ya kumpenda wala kumchukia... Bongo Movie siangaliagi kwahiyo hata ukiniuliza picha moja aliyocheza Wema siijui though I like their couple! What I don't like ni pale mashabiki wa pande zote mbili wanavyotaka kuingia kati kati ya penzi la Wema na Diamond... to be honest, I hate this otherwise, I like their chemistry... it's some kind of brand... like ya Posh na Beckham (tasnia tofauti)! Unfortunately, wakati Beckham na Posh wameitumia vizuri branding yao, huku kwetu ni Chibu peke yake ndie ameweza kuitumia huku Wema akijitia utalaamu wa mahaba...Hahaaaa ila mie nampenda Wema kwa hiyo zile picha duh nilijisikia vibaya kweli....
Kumpenda Wema hakunifanyi nianze kutukana watu kama wale wa kule Instagram.
Sa kuna mmoja wameanza kumtukana anaitwa dalalimwanamke.. anapata matusi ya ajabu huko balaa. Kisa alikua anasema bora Domo awe na Zari sio Wema
Huyo Dinazarde leo akiamka lazima mtafute mbeleko ya kumbebea... mtamkomaje... huku Dinazarde, kule Kim nana ... pale Paula kilaki ... kule Heaven on Earth akichombeza... dah, nahisi kama pressure ya princess nifah leo ita-shoot kwa kiwango cha kuogfya!!
Acha majungu mtoto wa kiume... mtoto nifah ndo anazimika na hizo sounds... ngoja nikupe darsa; unapotaka totoz TBS kama nifah ni lazima kwanza ufanye research kuhusu yeye... nilipofanya ya kwangu nikagundua mtoto hajiwezi kwa Le Billionaire Le Mutuz... hapo nikajua mtoto Ifa anazimika na old school...kumbe ulitarajia nini zaidi ya mimi kudondoka ki-old school; na mtoto ndo huyo... si ajabu ananiota hivi sasa!
Kumbe kupanda Ndege moja au kukutana ndani ya ndege mkapiga na kapicha ni kutanua?
Huyu mwanaume anaweza akakutoa roho,Wema usirudi tena
Sijui na mimi nijiaminishe kwamba hii nayo ni dalili ya nyota njema kwangu... najua roho mbaya wala haikupendezi kwahiyo kamwe huwezi kufurahia kufurahi peke yako lazima utapenda tu kufurahi na wale ambao wamo ndani ya dimbwi zito la simanzi... mungu akuzidishie kwa huo moyo wa upendo, nami najiandaa kufurahi.. tena ngoja nipige pamba mpya kabisa.Mimi leo nafurahi tu...nikasirike kwani mimi team wema?thou bado sijaamini hizi tetesi...
Aiseeee........kweli hata uwe na pesa kiasi gani........bila ninilino........hujakamilika.........
Ninavyomuonaga Zari........mmmmmh.....
Jaman hiyo ni shutting ya wimbo wao mpya jaman
ila hapo kwa Zari ndo mwisho wake atakwisha,Zari atamspoil na atasahau kazi,pole zake.Diamond nae jamani kazidiKwakweli aiseee...,
kama una roho ndogo unakuta mochwari
Huyo mtoto kishaliwa diamond awez akafanya shooting na mavaz hayo aliyovaa, lazma ajitupie pamba za hatari inaonyesha walikuwa wanakula bata sehemu!