Diamond atanua na Diva tajiri East Africa nzima

Weraaaaaaa weraaaaaqq nimepata wifiiiiii waliosema zari haliki eti pesa ooooooooo hhh mlambe ndimu hhhheeeeeeeeee Daimond Aminiaaaaaaaaaaaaaa
 
Km si video Huu mfupa uliwashinda hadi psquare ngoja nae ahangaike nao

kweli aisee huyu alishalala na Peter okeye,mwe Diamond hapo kapotea kwa huyo bibi,ataacha atahongwa na zari hadi asahau alikotoka,akija kuamka ni late.Diamond aibu kulala na huyo mbibi jamani mabinti wameisha?kwanza huyo zari ukimuona live sio mzuri,sema anaedit picha anaonekana mzurii kumbe wa kawaida sana
 
Weraaaaaaaaaaa mliokua mkisema Dai hawez kisa zari ana pesaaa naniii mmenunajeeeeee
Mapenzi hayachaguii,Dai anachagua naye mapedejeee ya kike na zari ndie aliezimikaaaa
Wema utajijuuu ngomma droooo
 
Last edited by a moderator:

Weraaaaaa weraaaaaaaaaaa pamoja na kufanya kazii zari keshaliwaaaa mamaaaa
 
Kwa ufupi alikuwa desperado hahahaha mambo ya kufanywa na akina huddah haya sio zari niliyekuwa namheshimu.
 
Mbona Povu Au ulikuwa unataka dimondii akulale ww

Muacheni afanye yake...we bwana wako tunamjua

Usije kuwa bwana wako km mzee Wasira
 
nawaonea huruma teamwema! pesa zao za budle mpaka wauze mawigi ... zari anapesa chafu! kama dangote amekamata hili zigo asiachie aisee

Yaaan mi nilizipata nyepesi toka siku zile wanakujaa walikua mahaba mahabaniii kwa kweli asiachieeee
 
Hapa nakubaliana na wanaume wanavyosema akili za wanawake ni ndogo

Nimekumiss shoga angu kidogo nikufate kwakooo,,kuna watu walikua wanabisha eti Dai hana ubavuu wala kumla huyo zarii
Na zari ashazimikaaaa mwenyeweeeee hajavutwaaa
Unamhurumia wema wakati nae ana mapedejeee kwanza anamkondesha Daii mfyuuu
 
Yaaan mi nilizipata nyepesi toka siku zile wanakujaa walikua mahaba mahabaniii kwa kweli asiachieeee

Hivi unampenda daimond kabisa unamshauri atembee na mtu umri Kama mama yake?? Wadada wazuri mbona wengi Sana dina.
 
Nimekumiss shoga angu kidogo nikufate kwakooo,,kuna watu walikua wanabisha eti Dai hana ubavuu wala kumla huyo zarii
Na zari ashazimikaaaa mwenyeweeeee hajavutwaaa
Unamhurumia wema wakati nae ana mapedejeee kwanza anamkondesha Daii mfyuuu

Me namhurumia dai wala si wema. Hivi wanawake wooote warembo ndio kuangukia kizeee? Kiufupi hakuna mwanaume mwenye maisha yake africa anaemtaka. Dai wakula makombo? Au umaarufu unampa ulimbukeni? Mbona mlikuwa mnamsema mziwanda
 
Hivi unampenda daimond kabisa unamshauri atembee na mtu umri Kama mama yake?? Wadada wazuri mbona wengi Sana dina.
Duh... kusema umri wa mama ake hapo umetia chumvi...Zari ni 30 something... about 32 or 33 lakini havuki 35.
 
Me namhurumia dai wala si wema. Hivi wanawake wooote warembo ndio kuangukia kizeee? Kiufupi hakuna mwanaume mwenye maisha yake africa anaemtaka. Dai wakula makombo? Au umaarufu unampa ulimbukeni? Mbona mlikuwa mnamsema mziwanda

Hata kwa wema alikuta makombo na bado anayala makombo,zari bado sio bibi kabisaa ukimpanga na Wema, zari mzuri na bomba ile mbaya na hapo ana watoto kama hana vileee
Na zari hazidi miaka 35 upooo acha Dai nae aonje tu kuna watu walibishi aibu yaoo habari ndio hiyoo hata wema alipokua na dai china walisema wanatoa movie iko wapi mpaka leo, hata hiyo video watoe lakini ukweli ni kua zari kaliwaaaaaa
 
lakini jamani mbebs mkaree balaa.juu ya kuzaa watoto wake 3, analipa ile mbaya.sura mashallah,na figure anayo.hela anazo,hategemei kuhongwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…