Diamond atanua na Diva tajiri East Africa nzima

Haka kanajitahidi bana! Wema huwa ni midomo tu, vingereza uchwara na mikorogo...

Ngoja nibadili vioo kwa nyumba yangu maana najua nitalala wazi after this...
cacico njoo huku basi...
 
Last edited by a moderator:
Hivi huyu bibie naye anapendaga vigodoro maana Almasi kwa wanawake wapenda vigodoro na mpaka akawaimbia kigodoro cha mdogomdogo.
 
zari hana miaka 38 msikuze jamaniii, ,,,na hana ubibi wowoteee kwanza ukimpanga na bongo movie nzima hayupo anaemfikiaa zari kwa uzuri na urembo

zari mkubwa na watoto ni wakubwa binamu
ila anajitunza sana yule bongo movi almost wote wadogo zake
 
zari mkubwa na watoto ni wakubwa binamu
ila anajitunza sana yule bongo movi almost wote wadogo zake

Umeona eeeh kajitunza na anaonekana young & sex kuliko hata huyo wema...tatizo liko wapi jamani?
 

Diamond mambo yake ni international tu kuanzia kolabo mpaka mademu.hao wazuri lakini wa hapahapa bongo anamwachia ally kiba.na ninahisi akiachana na zari atafuata star wa Nigeria then ataoa wa hollywood
 
dah mkuu umejionea plate no. zake kila gari zina gna lake hana njaa ya pesa huyu diva hata we anakuonga

Halafu demu mkalii..rangi imetuliiia...ht mimi ningekua diamond ningejilia vyangu...YOLO
 

Kwanini asimpige...hana minyege.?? ??, hao wanawake wakitajiri wengine mbona wamaviserengeti boy...mapenzi kitu kinginee....
 
Ana magari mengi tena ya maana. Nyumba yake ni km 8 star hotel. Ana hela chafu ila ndo hajiskii yuko down to earth.

Sasa hivyo vitu angevipata bidada shostito wema uwiiii...tungemwagiwa maji machafu njiani....Mungu huyuuu....
 
Zari hana miaka 38 msikuze jamaniii, ,,,na hana ubibi wowoteee kwanza ukimpanga na bongo movie nzima hayupo anaemfikiaa zari kwa uzuri na urembo

Huyo wema na zari ....wema kizee ...libayaaaaa
Komwe...nundu mgongoni..mahips manne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…