Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuache utani huyu mtoto ni Mkaree hata Mrembo by Nature anajuwa.
Ama kweli we kipofu ...
Nishike mkono mkuu univushe barabara, by the way umeshawahi walahu siku moja kukaa naye meza moja somewhere?
Nukuu yangu ya kufungia mwaka!
hivi humpendi mtu lakini unamfollow.tuache tunaempenda le mmbeya
zari hana miaka 38 msikuze jamaniii, ,,,na hana ubibi wowoteee kwanza ukimpanga na bongo movie nzima hayupo anaemfikiaa zari kwa uzuri na urembo
zari mkubwa na watoto ni wakubwa binamu
ila anajitunza sana yule bongo movi almost wote wadogo zake
Mwanaume anayeweza kubeba wamama over age ni Marioo tu na Diamond siyo Marioo ana pesa zake ni kwa nini hata visivyosahihi mnalazimisha vionekane viko sawa?
Kama ni mademu bomba hapa mjini wapo wakutosha tena rika lake, anyway wacha niishie hapo maana sina ndimu wala limao hapa.
Ngoja nimsake Le Mutuz kwanza saa 8 imeshapita.
Kipenzi
Kwani wema mzuri!!?
dah mkuu umejionea plate no. zake kila gari zina gna lake hana njaa ya pesa huyu diva hata we anakuonga
Hata suku 1 diamond hawezi mpiga huyu demu. Huyu demu ana hela chafu ata diamond hafikii hapo, ana ma boutique south africa huko ni balaa na maduka ya cosmetics dinga ndio usi seme we una dhani ana chapika kirahisi huyu. Zaidi labda aliona diamond ni msanii na ni maarufu na wote wako ndege moja sio mbaya waki piga selfies. Basi ndio mchezo ukaishia hapo... Afu kitu kingine, msije mka jidanganya eti diamond ata kuja kumuoa wema hio haipo, pale ana piga tu basi na yule demu ana jua hamna ndoa hapa ni funyox tu.
Ana magari mengi tena ya maana. Nyumba yake ni km 8 star hotel. Ana hela chafu ila ndo hajiskii yuko down to earth.
Huyu kina Wema hawaongeii hhhhhhaa wanyongeee
Zari hana miaka 38 msikuze jamaniii, ,,,na hana ubibi wowoteee kwanza ukimpanga na bongo movie nzima hayupo anaemfikiaa zari kwa uzuri na urembo
Huyo wema na zari ....wema kizee ...libayaaaaa
Komwe...nundu mgongoni..mahips manne