Wazo Langu
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 1,381
- 842
Hauko neutral kwenye argument...dai amebug vibaya mno. Muandalie nepi kabisa kwa kifuatacho ITV. Mie natoka ngoja nikatafute mpunga manake jf haitoi mafao. bdae
Ye nae badala akuze jina lake anapaisha majina ya matajiri asowajua.Dangote ni jina la utani la Daimond huyo Dangote ni jina halisi la bilionea wa Nigeria
Halafu hapa kuna umbea nautafutaAHahaha, wewe zavi ni kiboko, niko busy na talaka bhana, mpaka kieleweke, gadner alikuwa anatubania sana, sasa ivi tutapumua
Ndiyo shoga yake sasa.Eeh sintah na zari wapi na wapi au ndo mbeba mapochi wake, maana hawaendan hat kidog, sintah mswaz sana
Mi namhurumia tu Zari kujiingiza kwenye ma UKIMWI ya Wema
Ndiyo shoga yake sasa.
Angalia channel 5 Shilole anahojiwa na Nuhu looo kiswahili sijui hakijuiiii
UKIMWI hauishi kwa wazuri wale
Shilole ukimwona kwenye video utadhani ni demu wa maana.. Ila sasa kutana nae live au umwone kwenye interview, ptuuuu yani mwonekano ni wa kimalaya completely alafu anaongea kishamba utafikiri katoka igunga jana..
Mi namhurumia tu Zari kujiingiza kwenye ma UKIMWI ya Wema
Kumbe kupanda Ndege moja au kukutana ndani ya ndege mkapiga na kapicha ni kutanua?
Shilole ukimwona kwenye video utadhani ni demu wa maana.. Ila sasa kutana nae live au umwone kwenye interview, ptuuuu yani mwonekano ni wa kimalaya completely alafu anaongea kishamba utafikiri katoka igunga jana..
umeona eeh....halafu huwa hana point anabwatuka tu....kwa mtazamo wangu amekaa ki-housegirl zaidi
Anajiita shirore.....Education is sexy......í-½í¸´
show off za kishambaa
Nataka nifanye project na sinta . . Ntampataje. ..
hivi watu hawaruhusiwi kuwa marafiki