Diamond atanua na Diva tajiri East Africa nzima

Mi namhurumia tu Zari kujiingiza kwenye ma UKIMWI ya Wema

Yaan et wanamsema Zari ana ngoma wamempima!!wema hanaaa ngoma na hayo mazee yake anayotembea naeee
Wamuache zari miaka miaaaa
 
Angalia channel 5 Shilole anahojiwa na Nuhu looo kiswahili sijui hakijuiiii

Shilole ukimwona kwenye video utadhani ni demu wa maana.. Ila sasa kutana nae live au umwone kwenye interview, ptuuuu yani mwonekano ni wa kimalaya completely alafu anaongea kishamba utafikiri katoka igunga jana..
 
Jamani pesa, pesa, pesa hivi wewe baba yako ni nani?
Daaah, sijui yaani sijui tena nasema sijui.
 
Shilole ukimwona kwenye video utadhani ni demu wa maana.. Ila sasa kutana nae live au umwone kwenye interview, ptuuuu yani mwonekano ni wa kimalaya completely alafu anaongea kishamba utafikiri katoka igunga jana..

Lafudhi yake ni shidaaa
 
Jaman Zari anaimba pia ingieni blog yake zari the bosslady,mtakuja muumbuke 'project ikikamilika'
 
Shilole ukimwona kwenye video utadhani ni demu wa maana.. Ila sasa kutana nae live au umwone kwenye interview, ptuuuu yani mwonekano ni wa kimalaya completely alafu anaongea kishamba utafikiri katoka igunga jana..

umeona eeh....halafu huwa hana point anabwatuka tu....kwa mtazamo wangu amekaa ki-housegirl zaidi
 
Back
Top Bottom