lamborghini ya mme wake
hapa pamenikosha sanaa
penda sintah
Hapo dangote lazima alambe hakuna mkate mgumu mbele ya chaiiii
Ila mme wake ndio kamuwezeshaa etii,na pia ni wauza unga
Hahahaaa kiswahili hiki hiki..ngada ni sembe bwanaa...au madawa...
For what I know huyu demu pesa anayo na wala sio ya kusingizia... hizo boutiques ni sehemu tu ya michongo yake... kama sikosei (don't quote me) nadhani anamiliki au ana share za kutosha tu kwenye vyuo vinavyoenda kwa jina la Brooklyn City Colleges pande za South Africa. Lakini hata hivyo, sidhani kama biashara zake zote ni clean businesses! Mond kwa Zari ni kama mbingu na ardhi sema ndo vile tena, ilipo papuchi lazima itafute dushelele na wala haina fixed conditions kwa kuzimechisha!! Vigezo na masharti mara nyingi hubadilika kutegemeana na mazingira!!!Kama biashara yake ni boutique tu nakataa hizi plate number hata mimi naweza chongesha zikaandikwa Matola.
Nimekuelewa barafu la moyo manake hiyo mindinga khaaaaaaaaaa
NasDaz hapo chibu lazima apigeeeeeeee hakunaga chezeyaaaaaa tutasikia soon mimi mtabiri ndo nishasemaaaaFor what I know huyu demu pesa anayo na wala sio ya kusingizia... hizo boutiques ni sehemu tu ya michongo yake... kama sikosei (don't quote me) nadhani anamiliki au ana share za kutosha tu kwenye vyuo vinavyoenda kwa jina la Brooklyn City Colleges pande za South Africa. Lakini hata hivyo, sidhani kama biashara zake zote ni clean businesses! Mond kwa Zari ni kama mbingu na ardhi sema ndo vile tena, ilipo papuchi lazima itafute dushelele na wala haina fixed conditions kwa kuzimechisha!! Vigezo na masharti mara nyingi hubadilika kutegemeana na mazingira!!!
Heeee mpaka umeogopa naweee
Eeeee kipenzi manake naona chrysler,hammer limo,mercedez,range HSE nk hapo laki kadhaa za dolar zimekwenda
Hapana chezeya pesa lakini cha ajabu hatazikwa hata na moja, Mungu mbayaa jamanii
Toka daimond Alivojipumzisha kwa Kidoti kuaanzia hapo nikasema kumbe wanawake wote ni grade moja tuu so hakuna kinachoshindikana mkuu
mungu ana ubaya gani
Hapana chezeya pesa lakini cha ajabu hatazikwa hata na moja, Mungu mbayaa jamanii
mi ndio maana siwezi gombana na wanawake mna maneno ya kuudhi sana
mi ndio maana siwezi gombana na wanawake mna maneno ya kuudhi sana
We we...tena kuna siku ulinichokoza, sijui na mie nikuanzishiee...
Waambie haooo Dai anakula vitoto vya maana Dar wengine wameishia kuwaona kwa picha tuu na roho zitawauma mnooo wenginee sukari ya warembo ni shidaaaaaaaaaaaaaaaaaa