brenda18
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 5,687
- 5,287
Huyu Matola hua anaudhii huyuu sijui hajanywa chai kwa baba yake, siku nyingine atakujibu vizuri siku nyingine akiamka kavuta bangi za makalio atakupanda kichwani huyooo
Ndio hivyoo siku hizi ndimu haiondoi kichefuchefu unaweza maliza magunia lusungo njoo umpe pesa ya chai Matola ananisumbua kweli hukuu
Haha, mpotezee dada matola bana
Last edited by a moderator: