Diamond atanua na Diva tajiri East Africa nzima

Diamond atanua na Diva tajiri East Africa nzima

Huyu Matola hua anaudhii huyuu sijui hajanywa chai kwa baba yake, siku nyingine atakujibu vizuri siku nyingine akiamka kavuta bangi za makalio atakupanda kichwani huyooo
Ndio hivyoo siku hizi ndimu haiondoi kichefuchefu unaweza maliza magunia lusungo njoo umpe pesa ya chai Matola ananisumbua kweli hukuu

Haha, mpotezee dada matola bana
 
Last edited by a moderator:
NasDaz hapo chibu lazima apigeeeeeeee hakunaga chezeyaaaaaa tutasikia soon mimi mtabiri ndo nishasemaaaa
Unafikiri nakataa basi!! Ndio maana nikasema kila palipo na papuchi patahitaji dushelele na hakuna fixed terms kwa kumechisha hizo mambo... always vigezo na masharti hubadilika kutegemeana na mazingira... ndo pale unakuta mkata majany mifigo anamega mzigo wa boss wake!
 
Hivi kuna midudu ile inakaa baharini ipo kama mipanya buku hivi inateleza ina midevu hivi,inaitwaje??
 
Hahahaaaaaaaa.....Dina umeshindikana....khaaaaa....

Hajashindikana ni wa kumpuuza tu huwezi kutoka mishipa ya shingo kubishana na Anonymous, this is only best platform for her kuonesha yeye ni mahiri wa kubinuwa mdomo lakini ukikutana live na watu wa hivi utachoka na utashangaa sana.

ID yangu ni kama verified user ninaconect na watu tofauti humu uko street kwahiyo nina limit ya drama for my own good.
 
Ah,kumbe picha ni ishu!!?

Basi mkongwe le billionaire atakuwa keishapiga pale.p

Sent from my radio
 
DIAMOND MIAKA MIAAAA WAKUWAAACHEEEEE FROM ZERO TO HEROOOOOOOOO
MADEMU WAKALE DIAMOND
NGOMA KALEEE DIAMOND
LAZIMA WATU WALAMBE TIGOOO
ndo nshasema hutakiiii pita hiviiiiiiii=====>
Na popote akiongelewa Dai nakuja ukiona nakukera kama kawaida tupia ignore kwa ambao mshazoea kuweka id ignore list mi siweki mtu
 
Hata suku 1 diamond hawezi mpiga huyu demu. Huyu demu ana hela chafu ata diamond hafikii hapo, ana ma boutique south africa huko ni balaa na maduka ya cosmetics dinga ndio usi seme we una dhani ana chapika kirahisi huyu. Zaidi labda aliona diamond ni msanii na ni maarufu na wote wako ndege moja sio mbaya waki piga selfies. Basi ndio mchezo ukaishia hapo... Afu kitu kingine, msije mka jidanganya eti diamond ata kuja kumuoa wema hio haipo, pale ana piga tu basi na yule demu ana jua hamna ndoa hapa ni funyox tu.

wewe kweli watoto wa kike huwajui?yaani kiujasiri kabisa unaandika maneno hayo..dah!....sasa ndo naanza kuelewa kwanini wanaochapiwa huwaua wanaowachapia!...hii ni moja ya sababu kudhani mwanamke wa aina flani anastahili kugongwa wa design flani!
 
Attachments

  • 1415343143614.jpg
    1415343143614.jpg
    22.3 KB · Views: 544
DIAMOND MIAKA MIAAAA WAKUWAAACHEEEEE FROM ZERO TO HEROOOOOOOOO
MADEMU WAKALE DIAMOND
NGOMA KALEEE DIAMOND
LAZIMA WATU WALAMBE TIGOOO
ndo nshasema hutakiiii pita hiviiiiiiii=====>
Na popote akiongelewa Dai nakuja ukiona nakukera kama kawaida tupia ignore kwa ambao mshazoea kuweka id ignore list mi siweki mtu

Mbona unajihami?

Sent from my radio
 
wewe kweli watoto wa kike huwajui?yaani kiujasiri kabisa unaandika maneno hayo..dah!....sasa ndo naanza kuelewa kwanini wanaochapiwa huwaua wanaowachapia!...hii ni moja ya sababu kudhani mwanamke wa aina flani anastahili kugongwa wa design flani!
Muuza Sura nisaidie kuwaambia hawa vichwa vya gogo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom