Aiseeee mmenifanya nitetemeke!! Mi mwanzoni nilijuaga ni kama kina Huddah...ila duh....salute!
Alishawah kusema kua pesa ya zawad anayopata mshindi wa BBA ni thamani ya gari yake moja
Alishawah kusema kua pesa ya zawad anayopata mshindi wa BBA ni thamani ya gari yake moja
mmmh hongera yake kwakweli.
Sijui kwa siku anaingiza mamilioni mangapi. Mi nampenda alivyo simple
Alishawah kusema kua pesa ya zawad anayopata mshindi wa BBA ni thamani ya gari yake moja
unaweza mtukana hivi hivi
Kumbe kupanda Ndege moja au kukutana ndani ya ndege mkapiga na kapicha ni kutanua?
Hhhhhhaaaa vipi kama unaishi jiran halaf we huna kitu kama una roho ndogoo unakufa na preshaa
Wale waliokamatwa na madawa ya kulevya watu walifurah kisa eti walikua wanateseka mno ndiga zao zikipita barabaran mpaka hatareeeeee
Khaaaa....unaniwaza wewe!!!
Kwa ninii
Ni nani aliyesemaga akina chonji walikua wanatutesa na ndinga?
Umenichekesha duuu
Kwahyo hata le mutuz alitamua nae?
Hapo lazima wamebadilishana namba mi namuaminia chibu haiishii selfie tu hapoo ni zaidii
Hivi mbona sinta anaficha mtoto halaf amezaa nani???
Hiyo itakuwa kabati ya mninga mkuu.
sasa dina anamfichaje kwa mfano? kama baba na mama na ndugu wengine wanamjua sisi wambea tuna faida gani kulazimisha kumjua mtoto wa watu? siku moja pokello instagram aliulizwa na followe mmoja kwamba mahusiano yake na elikem yapoje akamjibu yule follower unaniuliza ukiwa kama baba yangu au nani? heri awafiche tu manake sie binadam hatufai kwa umbea, unaona hata zari hapa anatafutiwa sababu
hehe definition mpya ya kutanua hiyo