Diamond atanua na Diva tajiri East Africa nzima

Diamond atanua na Diva tajiri East Africa nzima

Alishawah kusema kua pesa ya zawad anayopata mshindi wa BBA ni thamani ya gari yake moja

Mapoda haya yanatajirisha,ndo maana vijana wameamua waongeze nguvu kazi kule...kuna watu wana hela kama uchafu!
 
unaweza mtukana hivi hivi

Hhhhhhaaaa vipi kama unaishi jiran halaf we huna kitu kama una roho ndogoo unakufa na preshaa
Wale waliokamatwa na madawa ya kulevya watu walifurah kisa eti walikua wanateseka mno ndiga zao zikipita barabaran mpaka hatareeeeee
 
Khaaaa....unaniwaza wewe!!!
 
Hihihihihi halooooo chezea chibu wewe,toa bandika mtasanda mwaka huu,sasa wemasepetu wewe si umenunulia Benz plus umepelekwa Asia huko kufanya surgeries yako ya ziwa na kurepea ---- sasa basi diamondplatnamz kakukomesha na yeye kaenda kwa boss lady kiboko yako zaribosslady mtoto mzuri mkali kuanzia kucha mpk nywele....Diamond mtoto mbaya sana jamani anamkomesha bibi bomba na watu wakali wakali tuu daah me nimejiuliza eti wame meet kwenye ndege by coincidence Duuh noma sana Kama coincidence why wakae seat moja?and kwa nini hawajapiga picha wakati wanasubiria ndege kwenye bench? Wameamua tuu ukuuwa soo waliona tukikaa kimya kitanuka huko nje wakifika,so diamond ulienda Uganda au south africa baba yangu???Alafu diamond amefurahia selfie na mtoto mzuri Zari angekuwa na wema asingepiga selfie zote hizo alafu simu iliyotumika kupigia selfie ni ya diamond alafu akamtumia Zari picha zote hawa wanamapenzi siku nyingi mpk wattsap wanachatt Hihihi uwii embu angalieni picha zao mapozi Yao the way Zari alivyolegea na champagne macho Yao yanaonyesha wamelala n kuamka kuwahi ndege vi macho vya kulala duu n Diamond mzee wa mdogomdogo mdomoni nimeona una lipstick ya Zari umekiss safari nzima midomo imejaa mate imeloa yote noma sasa Wema chali Asante sana shoga yangu Sinta kwa mbea Hihihihi unipe mwingine baadae

Siyajui Mie
Nimeyapata huko instagram

Km kweli pole yake

Cc warumi
 
Attachments

  • 1415371411596.jpg
    1415371411596.jpg
    62.2 KB · Views: 1,210
Last edited by a moderator:
Hapo lazima wamebadilishana namba mi namuaminia chibu haiishii selfie tu hapoo ni zaidii
Hivi mbona sinta anaficha mtoto halaf amezaa nani???

sasa dina anamfichaje kwa mfano? kama baba na mama na ndugu wengine wanamjua sisi wambea tuna faida gani kulazimisha kumjua mtoto wa watu? siku moja pokello instagram aliulizwa na followe mmoja kwamba mahusiano yake na elikem yapoje akamjibu yule follower unaniuliza ukiwa kama baba yangu au nani? heri awafiche tu manake sie binadam hatufai kwa umbea, unaona hata zari hapa anatafutiwa sababu
 
Pole ya nini kwan kazaliwa nae tumbo moja huyooo.

Ila tuache muvi iendelee.
 
sasa dina anamfichaje kwa mfano? kama baba na mama na ndugu wengine wanamjua sisi wambea tuna faida gani kulazimisha kumjua mtoto wa watu? siku moja pokello instagram aliulizwa na followe mmoja kwamba mahusiano yake na elikem yapoje akamjibu yule follower unaniuliza ukiwa kama baba yangu au nani? heri awafiche tu manake sie binadam hatufai kwa umbea, unaona hata zari hapa anatafutiwa sababu

Ni kwelii sema ana mabifu anaogopaa teh teh
 
Back
Top Bottom