tofali
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 4,010
- 3,419
Hizi ni chuki binafsi sasa, sisi wanaume ndio tunayejuwa mwanamke mzuri.
Nimchukie kwa kisa gani....inawezekana we ndo unamuona mzuri...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi ni chuki binafsi sasa, sisi wanaume ndio tunayejuwa mwanamke mzuri.
Nimchukie kwa kisa gani....inawezekana we ndo unamuona mzuri...
Huyo mama mzuri kuliko wema
Nimchukie kwa kisa gani....inawezekana we ndo unamuona mzuri...
Wema alikua mzuri zamanii siku hiz kwishaaaaaa
Umeona eeeh....kachuja
Angalia channel 5 Shilole anahojiwa na Nuhu looo kiswahili sijui hakijuiiii
Mshamba tuuu huyo nae....kuna ki issue nafanya ... siko karibu na kideo
Kama sielewi vileee
Yaani Boss lady mchana kweupe anataka kutuibia chenji.
Eti project... project ya kwenye mapaja labda
Huyo wema na zari ....wema kizee ...libayaaaaa
Komwe...nundu mgongoni..mahips manne
wengi wanaomponda wema ni wanawake....lakini ss wanaume wema ni mzuri sana...
Makalio ya Wema sijui yakoje, yameshuka chin utazan yanataka kudondoka
Weee ni over 35 kama si 40.