Diamond atelekeza watoto wa shule

Inabidi uwe mlevi mbwa ndio uweze kuamini kwamba mtu anaweza kusoma private school mwaka mzima bila kulipa ada! Halafu hawa jamaa kila siku the same similar story:Sasa unaitoaje habari na kutaja majina ya watu wakati huja-balance story?!


Kanuni ya uandishi inataka ubalance story, lakini kama mhusika haonyeshi ushirikiano unatoa tu bila kusikia upande wake. We mtu gani maarufu simu iko bize wakati wote, meneja no reachable... Kha! Mnadaiwa hivyo.
 
Mswahili siku zote ni mswahili ata aende, sufuria limepinda kama tako la masogange mxiuuu billionaire my foot

Acha hizo kabisa, sufuria lile halijapinda kabisa ni tena jipyaaaaa, na lingine lipo kwa mbali kinaonekana dogo lake kidogo tena yanaonekana ni mazitoooo yaani quality yake ipo bomba.

Na wapishi wowote wanajua kuwa watu uamuaga sufuria lipi linapika kipi kiutamuuuuu, hata uwe na ya pesa mengi mtu unaweza tumia kama waliotimia tena hayo yananogesha mchuzi haswaaaa

Penye ukweli mseme msipindishe kisa chuki.
 
Mwenzenu yuko bize na chup.i chup.i nyie mnaleta mambo za ada.
 


Mafukara.?! Shkamoo mkuu.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…