Inabidi uwe mlevi mbwa ndio uweze kuamini kwamba mtu anaweza kusoma private school mwaka mzima bila kulipa ada! Halafu hawa jamaa kila siku the same similar story:Sasa unaitoaje habari na kutaja majina ya watu wakati huja-balance story?!
Kanuni ya uandishi inataka ubalance story, lakini kama mhusika haonyeshi ushirikiano unatoa tu bila kusikia upande wake. We mtu gani maarufu simu iko bize wakati wote, meneja no reachable... Kha! Mnadaiwa hivyo.