Diamond atelekeza watoto wa shule

Wazazi wao si wawasomeshe. Yaani mtu mzima kabisa unategemea mwanao asomeshwe na mwanaume mwingine.....
 
Kwa nini asiweze binamu? Hii ishu naijua vzur, awalipie tu kwa kweli

Hizi ni habari GPL tuu hakuna ukweli....subiri uone...hawa wana fanya biashara tuu.
 
Sasa wewe mzazi unaruhusu watoto washindane ngololo huko shule kuna kusoma kweli?
 
dimond ni kiboko kwa kweli yaani mara moja tu mimba tayari kwakweli biblia haikukosea pale kwenye mstari unaosema mwanamke ishi nae kwa akili
 
Ashushwe amekua nani bwana? Superstar Chris Brown anapigwa madongo ijekua yeye?

Hahaaaaa sio yeye tu wengi hadi kina Kanye sembuse yeye. Wonders shall never cease loh! Kuna mambo wala aisee lazima chill pill zitumike aisee.
 
Hahaaaaa sio yeye tu wengi hadi kina Kanye sembuse yeye. Wonders shall never cease loh! Kuna mambo wala aisee lazima chill pill zitumike aisee.

Akwendreeee zake huko.Nasubiri jibu la hili suala la kushindwa kusomesha watoto.
 
Akwendreeee zake huko.Nasubiri jibu la hili suala la kushindwa kusomesha watoto.

Ili ijulikane ni kweli au urongo wanao taka kumshusha kwa kumzushia habari za uongo wakati yeye ni bilionare anayeingia kwenye list ya matajiri. Wanamwonea wivu bilionare.
 
Ili ijulikane ni kweli au urongo wanao taka kumshusha kwa kumzushia habari za uongo wakati yeye ni bilionare anayeingia kwenye list ya matajiri. Wanamwonea wivu bilionare.

Hahahahahaa thubutuuuu! Hata kwenye list matajiri 100 hayupo.
Awadanganye haohao wanaomuabudu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…