Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
AAah aaah umenikumbusha mbali sana dah, huyu billionaire kiboko
Binamu ile v8 ilikua shiiidah aisee!
Mhhhhhh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AAah aaah umenikumbusha mbali sana dah, huyu billionaire kiboko
Kwa nini asiweze binamu? Hii ishu naijua vzur, awalipie tu kwa kweli
Ruttashobolwa sio kila wakati GPL hua wanakosea au kuandika habari za uongo.Hizi ni habari GPL tuu hakuna ukweli....subiri uone...hawa wana fanya biashara tuu.
Binamu ile v8 ilikua shiiidah aisee!
Mhhhhhh
Kweli, ngoja nikapachungulie mana toka jana sijarudi kuleNakwambia vijithread uchwara vimejaa kibao ili kuua SHUZI LA WEMA!Kwanza twende tukaliendeleze kule kwa MPENDWA!!
kaka yangu naomba utume neno DA3 Kwenda namba 15415
Nipe na ile namba ya whatsapp
Hahaaaaa chezea bilionare wa Tandale weye watu wanamuonea wivu ati kwa kumuandika habari zake za uzushi kumshusha teh teh teh.
Ashushwe amekua nani bwana? Superstar Chris Brown anapigwa madongo ijekua yeye?
Hahaaaaa sio yeye tu wengi hadi kina Kanye sembuse yeye. Wonders shall never cease loh! Kuna mambo wala aisee lazima chill pill zitumike aisee.
Akwendreeee zake huko.Nasubiri jibu la hili suala la kushindwa kusomesha watoto.
Ili ijulikane ni kweli au urongo wanao taka kumshusha kwa kumzushia habari za uongo wakati yeye ni bilionare anayeingia kwenye list ya matajiri. Wanamwonea wivu bilionare.
Hahahahahaa thubutuuuu! Hata kwenye list matajiri 100 hayupo.
Awadanganye haohao wanaomuabudu.
Hahaaaaa bilionare anayeongozwa kuonewa wivu na chuki kutaka kumshusha. Wasiongelewe kina Dangote sembuse yeye. Kazi kweli kweli.