Hahaaaaa bibi mashavu mchezo atakufa na kijiba cha roho mwanamke kubeba watu na fake I'd mchezo.
Tena hekalu liko kwenye mkondo wa maji ati! Wonders shall never end loh!
Teynaaaa!Kiukweli mimi nilivyo mwoga hata kama unijengee ukuta imara kiasi gani ila nikishajua hiyo nyumba iko bondeni au kwenye mkondo wa maji sikai hata iwe nzuri kiasi gani.
Siwezi kuishi kwa hofu na mashaka kabisaaaa.
Na ndo faida ya kukosa uelewa unajenga kwenye mkondo wa maji kisa eti bima! Huko si kukosa akili kabisa pamoja na ubilionare wote akadhindwa kupata eneo zuri na kubwa kwenye kujenga kwenye mkondo wa maji utafikiri alikua anataka kulima mpunga.
Bora kula upepo wa Indian ocean kwa karibu na kwa raha sio kwenye mkondo wa maji mvua ikinyesha unawaza kudondokewa na nyumba bureee.
Hahahahahaa hivi uliangalia vizuri kule miguuni kwa bibi mashavu kulivyo?
Vidole kama tangawizi za same!
Bora kula upepo wa Indian ocean kwa karibu na kwa raha sio kwenye mkondo wa maji mvua ikinyesha unawaza kudondokewa na nyumba bureee.
[/COLOR]
Hahahahahaaa BADILI TABIA alisema anataka kuanzisha mradi wa kambale, nikamuambia itabidi nikiwa naenda Boko kutembelea ndugu zangu nipitie kwa BILLIONAIRE nichukue kambale mie.
Nasikia alipewa ushauri asijenge kwenye lile eneo lakini kwa sifa zake hakusikia.
Hahaaaa naomba uniletee kambale mmoja basi. Madai yake alikua anawalambisha ndimu haters kumbe vikamrudi yeye. Kutokushaurika ni janga aisee ujuaji mwingi ni shiiiider.
Tena bahar beach kule akitoka tu anazungukwa na mahotel ya kifahar kama ledger plaza na mahotel ya maana, huyo wa madale mwache mafuriko yamfundishe adabu
Teynaaaa!Kiukweli mimi nilivyo mwoga hata kama unijengee ukuta imara kiasi gani ila nikishajua hiyo nyumba iko bondeni au kwenye mkondo wa maji sikai hata iwe nzuri kiasi gani.
Siwezi kuishi kwa hofu na mashaka kabisaaaa.
Kisa cha kuweka roho mkononi ni nini? Hao wajenzi wa nyumba hawakutumia hata akili ya division five kujua hili eneo halifai kwa ujenzi au ndo kukurupuka huko.
Hahaaaaa ua killing me please spare my ribs loh! Sio tangawizi tu vibaya kuliko vya dume aisee still kujiona wa special mxieeeeew. Chezea tangawizi ya Same wewe tena iliyokomaa. Hafu mkorogo ukadunda.
Hahaaaa naomba uniletee kambale mmoja basi. Madai yake alikua anawalambisha ndimu haters kumbe vikamrudi yeye. Kutokushaurika ni janga aisee ujuaji mwingi ni shiiiider.
Nyumba ya billionea yakumbwa na mafuriko
Mhhhhhh! Hivi unaanzaje kusema nyumba ya BILLIONAIRE halafu mwisho unamalizia mafuriko? Watu watashangaa sana.
Diva please! Hivi tajiri kang'ang'ania anataka kujenga hilo eneo utakataa?
Mafundi walijenga pesa wakatia mfukoni wakasepa.
Mafuriko ya nani? Acha aipate baraka ya ubishi tu.
Hahahahahaa unaniomba nisikuchekeshe ilhali wewe unanivunja mbavu?
Mama weee, nimekumbuka vile vifundo vya miguu vilivyogoma mkorogo miguu ina madoa kama fisi!