Diamond atelekeza watoto wa shule

Diamond atelekeza watoto wa shule

hakuna msanii asiyejishow off, jide umaemtolea mfano hapa mhonabnae ni wale wale wa show off?? mimi sijawahi kumuona jide lakini najua mpaka chooni kwake??? nilikuonaje?? kama hakushow? najua anamakochi mekundu na kila mara huyasifia kuwa ndio makochi anayoyapenda? tumejuaje?? kila kitu anachokula jide kila siku lazima atuoneshe uongoooo??? akisafiri lazima arushe pasport tuone kuwa anapanda ndege uongooo??? magari yake tunayajua kama sala tumeyajuaje kama sio yeye kutuonesha, au hizo sio show off??
 
Teynaaaa!Kiukweli mimi nilivyo mwoga hata kama unijengee ukuta imara kiasi gani ila nikishajua hiyo nyumba iko bondeni au kwenye mkondo wa maji sikai hata iwe nzuri kiasi gani.
Siwezi kuishi kwa hofu na mashaka kabisaaaa.

Kisa cha kuweka roho mkononi ni nini? Hao wajenzi wa nyumba hawakutumia hata akili ya division five kujua hili eneo halifai kwa ujenzi au ndo kukurupuka huko.
 
Na ndo faida ya kukosa uelewa unajenga kwenye mkondo wa maji kisa eti bima! Huko si kukosa akili kabisa pamoja na ubilionare wote akadhindwa kupata eneo zuri na kubwa kwenye kujenga kwenye mkondo wa maji utafikiri alikua anataka kulima mpunga.

Hahahahahaaa BADILI TABIA alisema anataka kuanzisha mradi wa kambale, nikamuambia itabidi nikiwa naenda Boko kutembelea ndugu zangu nipitie kwa BILLIONAIRE nichukue kambale mie.
Nasikia alipewa ushauri asijenge kwenye lile eneo lakini kwa sifa zake hakusikia.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaa hivi uliangalia vizuri kule miguuni kwa bibi mashavu kulivyo?
Vidole kama tangawizi za same!

Hahaaaaa ua killing me please spare my ribs loh! Sio tangawizi tu vibaya kuliko vya dume aisee still kujiona wa special mxieeeeew. Chezea tangawizi ya Same wewe tena iliyokomaa. Hafu mkorogo ukadunda.
 
Bora kula upepo wa Indian ocean kwa karibu na kwa raha sio kwenye mkondo wa maji mvua ikinyesha unawaza kudondokewa na nyumba bureee.

Tena bahar beach kule akitoka tu anazungukwa na mahotel ya kifahar kama ledger plaza na mahotel ya maana, huyo wa madale mwache mafuriko yamfundishe adabu
 
[/COLOR]

Hahahahahaaa BADILI TABIA alisema anataka kuanzisha mradi wa kambale, nikamuambia itabidi nikiwa naenda Boko kutembelea ndugu zangu nipitie kwa BILLIONAIRE nichukue kambale mie.
Nasikia alipewa ushauri asijenge kwenye lile eneo lakini kwa sifa zake hakusikia.

Hahaaaa naomba uniletee kambale mmoja basi. Madai yake alikua anawalambisha ndimu haters kumbe vikamrudi yeye. Kutokushaurika ni janga aisee ujuaji mwingi ni shiiiider.
 
Last edited by a moderator:
Hahaaaa naomba uniletee kambale mmoja basi. Madai yake alikua anawalambisha ndimu haters kumbe vikamrudi yeye. Kutokushaurika ni janga aisee ujuaji mwingi ni shiiiider.

Hahahahaha ngoja mvua inyeshe mumy, nitakuletea usijali.
 
Tena bahar beach kule akitoka tu anazungukwa na mahotel ya kifahar kama ledger plaza na mahotel ya maana, huyo wa madale mwache mafuriko yamfundishe adabu

Hahaaa huyu le bilionare kiboko aisee aombe Mungu mvua isinyeshe mfululizo maana ni shiider.
 
Teynaaaa!Kiukweli mimi nilivyo mwoga hata kama unijengee ukuta imara kiasi gani ila nikishajua hiyo nyumba iko bondeni au kwenye mkondo wa maji sikai hata iwe nzuri kiasi gani.
Siwezi kuishi kwa hofu na mashaka kabisaaaa.

Nyumba ya billionea yakumbwa na mafuriko
 
Kisa cha kuweka roho mkononi ni nini? Hao wajenzi wa nyumba hawakutumia hata akili ya division five kujua hili eneo halifai kwa ujenzi au ndo kukurupuka huko.

Diva please! Hivi tajiri kang'ang'ania anataka kujenga hilo eneo utakataa?
Mafundi walijenga pesa wakatia mfukoni wakasepa.
Mafuriko ya nani? Acha aipate baraka ya ubishi tu.
 
Hahaaaaa ua killing me please spare my ribs loh! Sio tangawizi tu vibaya kuliko vya dume aisee still kujiona wa special mxieeeeew. Chezea tangawizi ya Same wewe tena iliyokomaa. Hafu mkorogo ukadunda.

Hahahahahaa unaniomba nisikuchekeshe ilhali wewe unanivunja mbavu?
Mama weee, nimekumbuka vile vifundo vya miguu vilivyogoma mkorogo miguu ina madoa kama fisi!
 
Hahaaaa naomba uniletee kambale mmoja basi. Madai yake alikua anawalambisha ndimu haters kumbe vikamrudi yeye. Kutokushaurika ni janga aisee ujuaji mwingi ni shiiiider.

Mwambie aje apa mbezi beach nimuhifadhi downstairs kwa muda ili maduriko yaishe, maana anatutia aibu mabilionea wenzie, hahaha ahah
 
Hahahahahaaa warumi leo umeuaaaa!
 
Last edited by a moderator:
Diva please! Hivi tajiri kang'ang'ania anataka kujenga hilo eneo utakataa?
Mafundi walijenga pesa wakatia mfukoni wakasepa.
Mafuriko ya nani? Acha aipate baraka ya ubishi tu.

Ni kweli mafundi walikua wanamsikiliza bilionare na wao wakafanya kazi kulingana na bosi alivotaka. Wakachukua mkwaja wao wakasepa kitaratibu. Sasa majanga kwake ukichangia kuziba mkondo wa maji lazima ufate njia.
 
Hahahahahaa unaniomba nisikuchekeshe ilhali wewe unanivunja mbavu?
Mama weee, nimekumbuka vile vifundo vya miguu vilivyogoma mkorogo miguu ina madoa kama fisi!

Hahaaaaa uwiiii jamani leo mkorogo ni mbaya sana aisee mikononi kwenye magoti na kwenye kota huwa unagoma mana ngozi ngumu. Hafu unatakiwa ukiutumia usiwe una kaa juani ndo utapauka Mpaka ushangae.
 
Back
Top Bottom