Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahhaHaya bana tusubiri letamkozzzzz
kaka yangu naomba utume neno DA3 Kwenda namba 15415
hahahahha
Uknw nitakuja na facts na Evidence na kuwaanika walio nyuma ya uongo huu....Uknw nimesomea upelelezi
Hahahaha i like it...
muacheni diamond apumueeeee .!!!!
Hhhhaaaaa le mu tu z na hiyo style yakee
Kwani msaada ni lazima
Kama wasimamizi wa Diamond wameshindwa kupatikana wawarudishe hao watoto shule walizotoka na msaada usiendelee wahasau, au waandishi na Shingogo wawalipie si msaada.
Walishindwa kumpata waache story, wakitoe zao wakaombe msaada kwingine.
Kwa hiyo tangu mwaka jana waliwaachia wasome bure mmmh
Haya warudi shule ya kawaida wasikose masomo.
Kuja kulalamika na kuponda ndio nini, msaada utoka moyoni hata kama analala hewani na pesa zake wamwache.
Waambieni wazazi wawarudishe shule za kawaida hizo walizokuwaga Mungu atawabariki pia huko.
Inabidi uwe mlevi mbwa ndio uweze kuamini kwamba mtu anaweza kusoma private school mwaka mzima bila kulipa ada! Halafu hawa jamaa kila siku the same similar story:Sasa unaitoaje habari na kutaja majina ya watu wakati huja-balance story?!
Nina hakika huu ni uongo wa GPL kama kawaida yao...! Diamond hawezi fanya jambo hili.
Wamuachee jaman, yaaan kila cku wanatafuta kick kutoka kwa Diamond,tatizo nyotaaaaaaa!
Kilichomfanya bilionea atoe ahadi ni njni?
Ahadi ni deni.....
Vichwa vichafu na watu wanaoishi kwenye ushenzi siku zote hawawezi Fanya jambo la maana!!!
Hata hao wazazi ni wapumbavu kwanza kuruhusu watoto wakashiriki kwenye mashindano ya kishenzi Kama yale na sasa imewagharimu....
Matanzania mengi ni mashenzi Sana yasiyoweza kuwaza zaidi ya nyayo za miguu yao.....
Tupate mtu dikteta tu atuongoze kwa risasi ndo vichwa vyetu vitatiririsha usaha uliopo kichwani....
MTU mpuuzi na mshenzi anaeishi kwa kutafuta Sifa atakufanyia nn cha maana??
CC: Carton barlet matumbo Matola warumi....
Sasa anayetafuta kick nani? Huyo mzazi au hao watoto? Au walimu? Msipende kulitumia neno KICK ata sehemu isiyostahil bwana, cha msingi awasomeshe si aliahid? Ndo tatizo ,yeye haoni umuhimu kwa kuwa hajasoma ndio maana,
ALipe kwa kweli, haoni umuhimu kwa kuwa hajasoma, kilichomfanya awaotea shule za kawaida kitu gan kama uwezo hana? Mxiuuu
ALipe kwa kweli, haoni umuhimu kwa kuwa hajasoma, kilichomfanya awaotea shule za kawaida kitu gan kama uwezo hana? Mxiuuu
Binamu katika ubora wako.
Domo anapenda sifa sana hadi katika vitu visivyotaka masihara kama elimu.