Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Ruttashobolwa sio kila wakati GPL hua wanakosea au kuandika habari za uongo.
Acheni kujifariji na source.
Hawa jamaa ni waongo na habari haina ukweli...
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ruttashobolwa sio kila wakati GPL hua wanakosea au kuandika habari za uongo.
Acheni kujifariji na source.
Hakuna kitu kibaya Kama kuzaliwa kwenye mazingira ya kishenzi!!!
Yaani tena na Diamond huwa hafanyi vitu kizembe.
hiyo shule naamini labda pia ilimfuata iwatangazie kwa kuwaletea watoto wawili, sasa wanaona anazidi pata pesa wanahamu wasingejiingiza kwenye hayo wanasema ----- baada ya kuwashinda, kuna kitu/mtu/watu.eti watoto wasome bura tangu Jan 2014 bila ada waongee leo
mmmmh kweli wenye chuki nae wako kazini kila kona wanajaribu
Hawa jamaa ni waongo na habari haina ukweli...
Una uhakika gani kama sio kweli? Ndio maana nimesema nasubiri tamko kutoka kwa domo kuhusiana na hili.
Kama ni habari ya uongo hawezi kukaa kimya, ila kama ni kweli jibu unalo.
Una uhakika gani kama sio kweli? Ndio maana nimesema nasubiri tamko kutoka kwa domo kuhusiana na hili.
Kama ni habari ya uongo hawezi kukaa kimya, ila kama ni kweli jibu unalo.
Hapo kusema tangu January ndio wameniacha hoi kabisa...hawa jamaa ni waongo sana..
Jamani Diamond kila kukicha anafanya shoo za mamilioni lakini ameshindwa kuwalipia ada wale watoto ambao aliahidi kuwasomesha. Wamesoma mwaka mmoja tu,- mwezi uliopita walitimuliwa na sasa wako nyumbani. Inauma sana kwani hawa watoto walitolewa kwenye shule za kawaida na yeye ndiyo akawapeleka kule, kilisema chanzo hicho.
Akwendreeee zake huko.Nasubiri jibu la hili suala la kushindwa kusomesha watoto.
Hakuna kitu kibaya Kama kuzaliwa kwenye mazingira ya kishenzi!!!
Nakumbuka niliwahi kukupinga sana juu ya jambo hili.
Lakini leo am taking back my words.
Yani wa ushenzin ni wa ushenzini tuuu.
Hizi ni habari GPL tuu hakuna ukweli....subiri uone...hawa wana fanya biashara tuu.
Yaani naona lengo lako ilikuwa ni kuchomekea hoja ya kutozaa lakini tangu mwaka jana humu nimekuwa nikiwauliza, miongoni mwa mademu alioishi nao Diamond hawa dada wa mjini nani amezaa kwa wanaume mwingine? Hamna hata mmoja ambae amewahi kujibu hilo swali lakini wenyewe wanaanza kujitokeza na ku-declare kutokuwa na uwezo wa kushika mimba kamaalivyo-declare mwenyewe Wema!!!!Diamond hana bahati ya kuzaa, hivyo hawasomeshe tu hao waotot hawezi kujua uko mbele watamsaidiaje, maadam alitoa ahadi basi awasomeshe tu kama watoto wake maana yeye hana uwezo wa kuzaa
Yaani Mpwa issue uijue vizuri halafu usiwe wa kwanza kuja kui-post JF??? Unaijua vizuri au umeijua kupitia magazeti ya Shigongo?? Akili ya kawaida inashawishi kwamba, there's no way mtu unaweza kusoma private school mwaka mzima bila kulipa ada; no way lakini ikiwa hilo limetokea basi tunapata picha moja kubwa na ya msingi ile mbaya... kwamba, Diamond ni mtu ANAYEHESHIMIKA nchi hii vibaya mno kuliko majority of Tanzanians coz' there's no way, I REPEAT, no way private school inaweza kumwacha mwanafunzi muda wote asome bila kulipa ada... lakini kama watoto wameweza kusoma mwaka mzima bila kulipiwa ada, kumbe hayo yametokana na HESHIMA ya sponsor, heshima ambayo warumi wewe huwezi kupewa hata Tandale Primary School ambako, iwe mwanao au unayem-sponsor, hata kama atashindwa kulipa sh.15,000/- lazima atarudishwa tu on the spot!!!!Kwa nini asiweze binamu? Hii ishu naijua vzur, awalipie tu kwa kweli
Lini hao akina Shigongo walianza kuongea suala la ubiloonea kama si baada ya mwenyewe kusema ana kama bilioni moja bank??!!! Halafu mlivyokomalia hii issue utafikiri ni jambo la ajabu sana wakat hata wadogo zenu huko kwenu ni jambo la kawaida sana kurudishwa nyumbani baada ya baba zenu kushindwa kulipa karo kwa wakati!!! Sie tuliesoma private schools ilikuwa ni jambo la kawaida ile mbaya kila muhula kurudishwa home kwa ajili ya karo... au nyie ndo wale mliosoma dizaini ya Mabibo Primary School manake huku private kurudishwa home sio issue hata kidogo!!! Mbaya zaidi siku hizi hata hiyo dizaini ya Mabibo Primary School ukishindwa hata kulipia mchango wa ubuyu, lazima urudi kwenu!!!Ila wakiandika diamond ni billionaire tanzania nzima habar zinakuwa za kweli? MMh
Hii habari iwe kweli au si kweli kwangu najionea upuuzi tu coz' hata hao wanaosomeshwa na baba zao wazazi huwa wanarudishwa kwa ajili ya karo! Kule vyuo vikuu, ukiachilia mbali wale wanaolipiwa na Bodi ambao hata wao kurudishwa sio jambo la ajabu, wapo wengine wanaolipiwa na sponsors ambao hata wao suala la kurudishwa kwa ajili ya kutolipiwa fee wala sio big issue!GPL hiyo hela mliyopata kwa kuuza gazeti kupitia habari hii tengeni kiasi mkawalipie hao watoto haraka sana!
Yaani Mpwa issue uijue vizuri halafu usiwe wa kwanza kuja kui-post JF??? Unaijua vizuri au umeijua kupitia magazeti ya Shigongo?? Akili ya kawaida inashawishi kwamba, there's no way mtu unaweza kusoma private school mwaka mzima bila kulipa ada; no way lakini ikiwa hilo limetokea basi tunapata picha moja kubwa na ya msingi ile mbaya... kwamba, Diamond ni mtu ANAYEHESHIMIKA nchi hii vibaya mno kuliko majority of Tanzanians coz' there's no way, I REPEAT, no way private school inaweza kumwacha mwanafunzi muda wote asome bila kulipa ada... lakini kama watoto wameweza kusoma mwaka mzima bila kulipiwa ada, kumbe hayo yametokana na HESHIMA ya sponsor, heshima ambayo warumi wewe huwezi kupewa hata Tandale Primary School ambako, iwe mwanao au unayem-sponsor, hata kama atashindwa kulipa sh.15,000/- lazima atarudishwa tu on the spot!!!!
Lini hao akina Shigongo walianza kuongea suala la ubiloonea kama si baada ya mwenyewe kusema ana kama bilioni moja bank??!!! Halafu mlivyokomalia hii issue utafikiri ni jambo la ajabu sana wakat hata wadogo zenu huko kwenu ni jambo la kawaida sana kurudishwa nyumbani baada ya baba zenu kushindwa kulipa karo kwa wakati!!! Sie tuliesoma private schools ilikuwa ni jambo la kawaida ile mbaya kila muhula kurudishwa home kwa ajili ya karo... au nyie ndo wale mliosoma dizaini ya Mabibo Primary School manake huku private kurudishwa home sio issue hata kidogo!!! Mbaya zaidi siku hizi hata hiyo dizaini ya Mabibo Primary School ukishindwa hata kulipia mchango wa ubuyu, lazima urudi kwenu!!!
Yaani na wewe wengine wooooooote wapendwe, lakini akipendwa Diamond kwako nongwa... haya na wewe amekufanya nini??!! Hivi mnataka muwe mna-comment nyinyi tu na negative criticism lakini tuki-comment wengine ishakuwa taabu!!! By the way, ikiwa la kwangu ni gazeti na hiyo thread kuu utaita nini? Hoja ipo pale pale hata kama umeikwepa... ama habari hii sio ya kweli na kama ni ya kweli, basi Diamond ANAHESHIMIKA ile mbaya nchi na ndio maana hata private school imeamua kuwaacha watoto mwaka mzima bila kulipa ada... any of the above fact kwako haiwezi kuwa mzuri hata kidogo!!!!Mh!! Unaniachaga hoi ukianza kuandika magazeti yako tu, wewe unampenda diamond sana, sijui alikufanya nn
Una uhakika gani kama sio kweli? Ndio maana nimesema nasubiri tamko kutoka kwa domo kuhusiana na hili.
Kama ni habari ya uongo hawezi kukaa kimya, ila kama ni kweli jibu unalo.
Inawezekana hujasoma Tanzania tangu kuzaliwa kwako, kuanzia chekechea hadi college... lakini usiniambie kwamba hujawahi kusikia suala la wanafunzi kurudishwa home kwa ajili ya kutolipa karo, na wakati mwingine kwa sababu ya kutlipa hata michango ya kijinga kabisa!!!Sijawahi kusoma primary wal secondary in Tz, you can imagine shule nilizosomea, sijawah kuvaa jezi zenu za mtomba nyoko primary school zile surual za blue na mashat meupe kama sanda za maiti, huyo boss wako hanipat kiekimu wala kimaisha