Ukitaka amini usipotaka acha..Dangote platinum majuzi alisababisha wachezaji wanne wa VFB STUTGART inayoshiriki ligi kuu ya ujerumani kukatwa mshahara wa wiki 2 pale walipotoroka hotelini na kwenda kuhudhuria show kali ya mkali huyo anayetikisa duniani kwa sasa
Rais wa team hiyo, Bernd Wahler alisikitishwa na kitendo hicho lakini ameahidi kumualika kijana huyo ambaye ana mdate wema sepetu(22) kwenda kutumbuiza wakati wa half time siku stuttgart itakapocheza na bayern munich kwa kitita cha euro 100,000
Stay tuned....
Acha kabisaaa ngoja nimuite warumi acheke nae eti wema 22 yaam
Ila watu wa hivi wakipoteaa mi jukwaa huliona bayaa,halaf Gogle simuoni aisee sijuii atakua anaandaa episode ya ngapi
Gogle ni kiboko, yeye kokote anatia timu haangalii jukwaa lipi linafaa.Kuna mwingine anaitwa Sayansi kimu naye sijui yupo wapi.
Yupoo ye akija lazima aniiteee, na yule albosigna sijui nanii nae simuoniii
Kuna kifaa kipo jukwaa la habari mchanganyiko yeye nyuzi zake ni utata namfananisha na Gogle anaitwa Kijakazi II
Hata mie nlitaka kusema ivo ivooo yani huyu mleta mada katuona sisi kama viazi vile.. akadanganye machokoraa wenzake huko tandale kwa tumbo na bibi nyauWadanganye watoto wa Tandale..
Uongo.source ni mimi mwenyewe
hivi wewe ni maatope au matope?Ukitaka amini usipotaka acha. Dangote platinum majuzi alisababisha wachezaji wanne wa VFB STUTGART inayoshiriki ligi kuu ya ujerumani kukatwa mshahara wa wiki 2 pale walipotoroka hotelini na kwenda kuhudhuria show kali ya mkali huyo anayetikisa duniani kwa sasa.
Rais wa team hiyo, Bernd Wahler alisikitishwa na kitendo hicho lakini ameahidi kumualika kijana huyo ambaye ana mdate wema sepetu(22) kwenda kutumbuiza wakati wa half time siku stuttgart itakapocheza na bayern munich kwa kitita cha euro 100,000.
Stay tuned.
Acha kabisaaa ngoja nimuite warumi acheke nae eti wema 22 yaam