elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,733
Ukitaka amini usipotaka acha. Dangote platinum majuzi alisababisha wachezaji wanne wa VFB STUTGART inayoshiriki ligi kuu ya ujerumani kukatwa mshahara wa wiki 2 pale walipotoroka hotelini na kwenda kuhudhuria show kali ya mkali huyo anayetikisa duniani kwa sasa.
Rais wa team hiyo, Bernd Wahler alisikitishwa na kitendo hicho lakini ameahidi kumualika kijana huyo ambaye ana mdate wema sepetu(22) kwenda kutumbuiza wakati wa half time siku stuttgart itakapocheza na bayern munich kwa kitita cha euro 100,000.
Stay tuned.
mimi nakukubari kwa kuwa na ma news exclusive ...
Big up matoope..