Diamond atikisa Bundesliga

Diamond atikisa Bundesliga

Ukitaka amini usipotaka acha. Dangote platinum majuzi alisababisha wachezaji wanne wa VFB STUTGART inayoshiriki ligi kuu ya ujerumani kukatwa mshahara wa wiki 2 pale walipotoroka hotelini na kwenda kuhudhuria show kali ya mkali huyo anayetikisa duniani kwa sasa.

Rais wa team hiyo, Bernd Wahler alisikitishwa na kitendo hicho lakini ameahidi kumualika kijana huyo ambaye ana mdate wema sepetu(22) kwenda kutumbuiza wakati wa half time siku stuttgart itakapocheza na bayern munich kwa kitita cha euro 100,000.

Stay tuned.

mimi nakukubari kwa kuwa na ma news exclusive ...
Big up matoope..
 
Ukitaka amini usipotaka acha. Dangote platinum majuzi alisababisha wachezaji wanne wa VFB STUTGART inayoshiriki ligi kuu ya ujerumani kukatwa mshahara wa wiki 2 pale walipotoroka hotelini na kwenda kuhudhuria show kali ya mkali huyo anayetikisa duniani kwa sasa.

Rais wa team hiyo, Bernd Wahler alisikitishwa na kitendo hicho lakini ameahidi kumualika kijana huyo ambaye ana mdate wema sepetu(22) kwenda kutumbuiza wakati wa half time siku stuttgart itakapocheza na bayern munich kwa kitita cha euro 100,000.

Stay tuned.

Nadhani wewe no babu tale nimeona maoni yako mengi kuhusu diamond...hembu tupe link ya source ili tujiridhishe
 
Nadhani wewe no babu tale nimeona maoni yako mengi kuhusu diamond...hembu tupe link ya source ili tujiridhishe
Babu tale ndio nani? mimi nina inside informations za kila angle, iam very dangerous my friend
 
Ushabiki usio na maana!! Anyway, sio kila anayeenda kwenye ukumbi wa muziki anafuata muziki... wengine wanaenda kwa ajili ya mademu wao kwahiyo! Hivyo basi, mosi habari yako ni uongo mtupu lakini hata niki-assume kwamba habari yako ni ya kweli, bado hao majamaa hawawezi kuwa wameenda huko kumfuata Diamond bali mademu zao kutoka pande hizi!!!
 
I had missed the adventures of maatope ...
hahahaaaa
 
Last edited by a moderator:
Naskia alichelewa kupanda jukwaani , alienda saa kumi alfajiri
Watu wakakasirika na kusababisha vurugu.

Sasa hio show aliobamba ni ipi?!!!
 
Hahhaha..
Alitaka auawe kisa £3250,akaokolewa na police,how come apate hyo £10000 kirahisi tu..
 
Mmh majanga haya yaani kupanda ndege kwa shoo ya kwenye bar tena euro 3200 kumbe hata mimi mke wa mkuu naweza kumwita aje anipigie kwenye HB yangu mwezi ujao hhahhaaa
 
Back
Top Bottom