elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,733
Ukitaka amini usipotaka acha. Dangote platinum majuzi alisababisha wachezaji wanne wa VFB STUTGART inayoshiriki ligi kuu ya ujerumani kukatwa mshahara wa wiki 2 pale walipotoroka hotelini na kwenda kuhudhuria show kali ya mkali huyo anayetikisa duniani kwa sasa.
Rais wa team hiyo, Bernd Wahler alisikitishwa na kitendo hicho lakini ameahidi kumualika kijana huyo ambaye ana mdate wema sepetu(22) kwenda kutumbuiza wakati wa half time siku stuttgart itakapocheza na bayern munich kwa kitita cha euro 100,000.
Stay tuned.
mimi nakukubari kwa kuwa na ma news exclusive ...
Big up matoope..
Huyo ndio maatope bwana, habari zake zinakuwa exclusive kabisa.
Ukitaka amini usipotaka acha. Dangote platinum majuzi alisababisha wachezaji wanne wa VFB STUTGART inayoshiriki ligi kuu ya ujerumani kukatwa mshahara wa wiki 2 pale walipotoroka hotelini na kwenda kuhudhuria show kali ya mkali huyo anayetikisa duniani kwa sasa.
Rais wa team hiyo, Bernd Wahler alisikitishwa na kitendo hicho lakini ameahidi kumualika kijana huyo ambaye ana mdate wema sepetu(22) kwenda kutumbuiza wakati wa half time siku stuttgart itakapocheza na bayern munich kwa kitita cha euro 100,000.
Stay tuned.
Babu tale ndio nani? mimi nina inside informations za kila angle, iam very dangerous my friend
Gogle yupo hai.
basi watakua wawili, coz mjomba ake alikuja hapa kutoa taarifa...
Wacha weeewee
Hahah....he is very dangerous....design kama yule mshabiki wa yanga anayependakulia.
tusaidiane kushangaaa,ilo zee lililopauka uso kama k ya ngo'mbe ndo 22?