Kwani nae wapi kamtaja ommy ktk hayo maneno?Hayo maneno si mazur kabisa kuongelewa na mtu kama yeye,na hakuna sehem yoyote aliyotajwa na Ommy kuwa ana roho mbaya namshaur Ommy anyamaze kimya hili suala litapita tuu
Na uzalendo umemshinda baada ya kutukaniwa mama yake na uyo ommy akaweka like ktk post aliyotukanwa mama mond then people znakuja kumlaun diamondWatu wanafiki sana, Diamond kaanza kutukanwa na kusemwa vibaya siku nyingi sana, lakini siku zote hizo anakaa kimya hajibu chochote. Kama Binadamu lazima tukubali kwamba kuna wakati uvumilivu unafika kikomo. Mwacheni Diamond naye ajibu. Halafu tukumbuke kwamba hadi sasa Diamond bado hajaweka wazi chazo cha ugomvi. Siku atakapojibu ndio tutajua nani mbaya.
Yaan mmmhAma kweli masikini akipata Matako ulia mbwata! Uyu jamaa anafikiri mafanikio katika huu ulimwengu yamaanisha Mungu yupo pamoja nawe? Eb afahamishwe haache ushamba na ufinyu wa mawazo na atambue ukiwa na roho mbaya kama yake utaish miaka mingi sana na mafanikio utapata ila atambue Mungu s wa ulimwengu yeye n mbinguni!
Kabisaa, watu walitaka aendelee kukaa kimya tu. Mtu anatukanwa matusi ya nguoni kiasi kile halafu Ommy Dimpoz analike, wakati huo huo zipo tetesi kwamba yule dogo alikuwa analipwa na baadhi ya wasanii kwa ajili ya kumtukana Diamond. Ni kwa sababu tu kesi imeshapelekwa kwenye vyombovya sheria hivyo si rahisi Diamond akawataja hao wasanii kwa sababu itakuwa anaingilia ufanyaji kazi wa mamlaka za kisheria.Na uzalendo umemshinda baada ya kutukaniwa mama yake na uyo ommy akaweka like ktk post aliyotukanwa mama mond then people znakuja kumlaun diamond
Akili ndogo tabu sana, yaani mimi unitukanie b mkubwa angu alafu nicheke na wewe, hiyo ngumu aisee
Mpaka mkuu screpa umeongea hivi, naunga mkono hoja aliyoyaongea diamond si maneno mazuri.Si maneno mazuri
Mr nice hajawahi kufikia robo ya mafanikio ya mond, hii bifu wacha ommy alipe alichokianzisha, wamezidi sana kumsema jamaa kawakalia kimya, hivi sasa wacha awape kama wanavyotakaHuyu jamaa anajiona sana, asisahau kua hata mr nice alkua hvo tena pengine kumshnda yeye kwa sku zile! Unatumia mafanikio yako kuwanyanyasa wenzio, kwnz ommy n mvumlivu sana kwa nlvomskia akiongea inaonesha kakomaa sana na s limbuken
U always on domo side binamuHater hana sababu na hata akiwa nazo ni za kipuuzi! Chukulia bifu la Kiba na Diamond ambalo Dimpoz jana alilizungumzia! Diamond kamshirikisha ngoma Kiba... baadae sijui kaonaje; akatoa kipande cha Kiba akaingiza vocal mwenyewe! Kuona hivyo, Kiba aka-mind... kwa madai kwamba kwanini hakumjulisha!!!
Fine... hata kama; kwani endapo angepotezea yeye Kiba angeathirika nini?! Mbona kisela ilikuwa rahisi tu hata kumpigia simu na kumwambia: "Yaani we dogo unanipotezea muda wangu halafu kipande changu unafuta... poa bhana, si umeshakomaa sio! Usiniombe tena hayo mambo!" Baada ya hapo, mnaendelea as if hakuna kilichotokea! Si ndivyo watu wanavyofanya... kinyume chake, Kiba aka-mind wakati lilikuwa jambo la kijinga tu!!
My dearest The bold...kama umenisoma kwa umakini ni kwamba hiyo issue niliinyaka kitambo sana.Like two years ago ila kutokana na uzito wake nimeshindwa kabisa kuliongelea.Daaaaahh wakuu this is too much! Tusivuke mipaka bhana..
Mimi ndio maana siku hizi nazikimbia hizi nyuzi za celebrities forums!
We need to draw a line somewhere, hebu tujiweke kwenye viatu vyake alafu imagine mtu akuzushie unashiriki tendo la ndoa na mzazi wako! Sio fair wakuu..
Tubishane, tupigane vijembe, tukosoane n.k Upinzani wa jadi uendelee but tusivuke mipaka wakuu!
I feel sory for the guy, I can't imagine how painful it must be for him anavyosoma kwenye mitandao ati analala na mama yake! Sio fair..
Lakini wakati unataka busara itumike katika hili kumbuka aliyeanzisha ni Diamond.Tusihamishie ugomvi kwa wazazi! Kama vipi dimpoz/au nyinyi humu mzushe kuwa chibu anapumuliwa na sallam au vyovyote vile lakini sio kuwaingiza wazazi kwenye hili suala alafu kwa mtindo kama huu daaaahh..
Kumbuka dimpoz wazazi wake wametangulia mbele za haki na watu wanaheshimu hilo! Sio sawa kuwadhalilisha wazazi kiasi hiki..
Anyway, mnaweza mkaendelea tu kujadili hayo mambo kuhusu wazazi!
Ila haijakaa poa kabisa..
kweli kabisa waambie washamba haoMpaka ufuatilie mtu basi wewe huna kazi.
Kama uko busy na mambo yako kwanini umfuatilie mtu?
Ooooh mara hana mziki mzuri ooh ana nunua viewers !
Akijibu oooh mbaya