Diamond atoa jibu la utata kufuatia interview ya Ommy Dimpoz

***** zake umemchana live
 
Hayo maneno si mazur kabisa kuongelewa na mtu kama yeye,na hakuna sehem yoyote aliyotajwa na Ommy kuwa ana roho mbaya namshaur Ommy anyamaze kimya hili suala litapita tuu
Mimi ninadhani kuna mtu wa kati ambaye amechafua hali ya hewa. Nimewasikiliza wote 2 na mwisho wa siku nikaona ni hivyo. Haiwezekani kwa watu mliokuwa karibu halafu ghafla unazima taa bila sababu na kwa mastaa hali hii ni kawaida sana kwani unapokuta mastaa 2 wako karibu na wewe uko karibu na mmoja wako na ungependa wewe uwe ndiyo mtu wake wa karibu pekee ni lazima utapika vitu vidogo vidogo ili mmoja wapo achukie na kumzimia taa mwenzake
 
Kwa mond haya ni madogo tu yuko wapi davdo walimbeba kina tim we... tim jooo na tim kibakuli wakampa tuzo hewa halafu mtoto wa tandale ansonga mbele bila mbereko
 
U always on domo side binamu
Usiangalie nipo upande gani... issue ni kwamba, mtu ku-hate sio lazima awe na sababu! Na always mtu anaekuwa victim ni yule ambae anaonekana yupo juu! There's no way mtu awe hater kwa Shetta leo hii na ukiona basi jua ni kweli kuna sababu! Watanzania tumezoea unafiki; wengine hatuwezi! Mtu akiwa na uwezo wa kuwa-inspire wengine lazima niwe upande wake! Hapa JF nishaandika si mara moja kuhusu Hasheem Thabeet... kwa sababu ni icon! Lakini anzisha thread kuhusu Hasheem hapa uone watu wakakavyoanza kumponda na kumkashifu wakati hata kumjua kwenyewe wanaishia kumuona kwenye TV....! Hata huyu Kiba kabla hajazingua watu tumem-support sana hadi pale alipojipoteza mwenyewe na kurudi kwa staili ya aliyoijua yeye!

Leo hii watu wanajifanya kumlilia Kanumba, lakini enzi zake Kanumba alikuwa na haters kila mahali...!!!! Lakini humu jamvini mimi ni mmoja wa watetezi wakubwa wa Kanumba na Bongo Movie kwa ujumla huku wengine mkiishia kuponda na kukashifu! Nothing personal but appreciation!
 
Binamu kila mtu angekua anamsifia domo kama wewe asingefika pale, haters ndo wanamfanya domo akazane na sio nyue mnaomshabikia hata akinya msikitini, sio kila Anachokifanya domo anapatia, yy ni binadamu pia
 
Anayepumuliwa uenda akawa baba yako... Ommy dimpoz
 
Hawezi kufanya nao collabo sababu alihitaji Mara ya kwanza mondi akaingilia kwakupanda dau

kwasasa. Naona kijana ommy anajiandaa na collabo na mwanamziki mwingine lakini nimekutonya tu usije msAmBAzia boss wenu aingilie tena


Lakini mondi anaroho kubwaaa kama engine ya fuso

Ila ommy kamnyoosha mondi

Kweli ommy ni bonge la msanii

Vipi lakini umekula?
 
Heee...!! Sasa mbn umeweka picha tofaut my dear..?? Nafurah nimegundua jina unalojiita JF. Nakumbuka unavyoniita D huku jicho limelegea kma linataka kudondoka. Hatar sn..!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Diamond hiv kawaje na yeye khaaaa, kwahiyo watu ambao hawajafanikiwa wanaroho mbaya. Kichwa yake imeshavurugika huyu
 
Binamu kila mtu angekua anamsifia domo kama wewe asingefika pale, haters ndo wanamfanya domo akazane na sio nyue mnaomshabikia hata akinya msikitini, sio kila Anachokifanya domo anapatia, yy ni binadamu pia
Hivi unafahamu maana ya kumsifia mtu?! Kusifia ni kama wewe unavypenda kumsifia yule bibi yako ambae hadi leo unaota kwamba ndo anakimbiza kwa wasanii wa kike wakati hamna kitu kitambo!!!

Au hufahamu tofauti kati ya kumsifia mtu na kumuunga mkono mtu? Nyie haters hamna mchango wowote... wenye mchango ni wale wanaompa moyo mtu lakini sio nyinyi ambao kila siku mpo standby kusubiria jambo negative ili msherehe mitandaoni! Wenye mchango ni wale wanaokosoa na kutoa njia na sio haters!!! Haters hawezi kuwa na mchango kwa sababu tayari anakuwa na roho ya kishetani!!!!!
 
Pamoja na kumdhalilisha lakini kwanye mpambano huu Ommy kachukua point nyingi.Ajifunze.
 
Mimi simchhukii D, ukitaka kujua thamani ya wasanii was Tz nenda nchi A watu, kuna siku nilikua nirpbi tumekaa na rafik zangu, ghafla wimbo was D ukapigwa, watu wakaanza kumsifia D hata mm nikajiona nipo juu coz ni mtz mwenzangu, hata magu nae, ukiwa nje ukiulizwa unatoka wap ukisema Tz utashangiliwa sana coz magu anajulikana itendaj wake was kaz, wanatuwakilisha vzur but haimaanishi tuabze kutetea hata ajifanya upuuzi
 

Lakini wakati unataka busara itumike katika hili kumbuka aliyeanzisha ni Diamond.
Kitendo cha kumuambia mwenzie anaanzisha bifu kisa alikataa kumpumulia mbona sijaona ukikilaani?

Kwanini busara zako zinaegemea upande mmoja tu?
Daaahh yani hapa imebidi nipitie tena post zako! Una akili sana wewe, kama umelisikia two years na umekaa kimya hiyo ni busara kubwa sana.. Sipati Picha watu fulani wangelisikia, mpaka Uzi wangeanzisha kuhusu hayo mambo hahahaha

Wewe ni mpinzani profesheno, you know where to draw a line! [emoji122] [emoji122]
 

Jf sio instagrm, kwamba unaweza kutoa majibu mepesi kiasi hicho na watu wakakuelewa, kwani daimdomo alishindwaje kumsubili mwenzake afanye hiyo colabo kwanza sababu ni ommy ndio alitoa hiyo idea na dai akaiunga mkono, lkn mwisho wa siku anakuja kumzunguka.
Kifupi huwezi kuwa na rafiki wa hovyo namna hii.
Maelezo ya ommy yametoa taswira harisi ya namna gani ndugu yako au rafiki yako wa karibu anaweza kuwa ndio chanzo kikubwa cha kutofanikiwa kwako, yani kadri wewe unavyomuweka karibu kujua plan zako ndivyo yeye anakuzunguka na kufanya yaleyale kwa faida yake binafsi na mwisho wa siku anakutupa. Diamond hawezi kulijibu hili sababu linaonekana kuwa na ukweli na limemchoma hasa.
 
Mr nice hajawahi kufikia robo ya mafanikio ya mond, hii bifu wacha ommy alipe alichokianzisha, wamezidi sana kumsema jamaa kawakalia kimya, hivi sasa wacha awape kama wanavyotaka
Na Diamond hajafikia robo na hata moja ya nane ya mafanikio ya Kanye West, lakini sasa hivi Kanye dhoflyhally yuko taabani na madeni na pia kachanganyikiwa.Yuko hospital anatibiwa, ukifanikiwa usiwadharau watu.Diamond ni brand, hakutakiwa ajibu yy bali HR/Manager wake wangejibu ki professional hili jambo lisingefikia huku.Ajifunze kitu hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…