Usiangalie nipo upande gani... issue ni kwamba, mtu ku-hate sio lazima awe na sababu! Na always mtu anaekuwa victim ni yule ambae anaonekana yupo juu! There's no way mtu awe hater kwa Shetta leo hii na ukiona basi jua ni kweli kuna sababu! Watanzania tumezoea unafiki; wengine hatuwezi! Mtu akiwa na uwezo wa kuwa-inspire wengine lazima niwe upande wake! Hapa JF nishaandika si mara moja kuhusu Hasheem Thabeet... kwa sababu ni icon! Lakini anzisha thread kuhusu Hasheem hapa uone watu wakakavyoanza kumponda na kumkashifu wakati hata kumjua kwenyewe wanaishia kumuona kwenye TV....! Hata huyu Kiba kabla hajazingua watu tumem-support sana hadi pale alipojipoteza mwenyewe na kurudi kwa staili ya aliyoijua yeye!
Leo hii watu wanajifanya kumlilia Kanumba, lakini enzi zake Kanumba alikuwa na haters kila mahali...!!!! Lakini humu jamvini mimi ni mmoja wa watetezi wakubwa wa Kanumba na Bongo Movie kwa ujumla huku wengine mkiishia kuponda na kukashifu! Nothing personal but appreciation!