Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwamba diamond atakuja kushangaa anamkuta na taulo ommy chumbani kwa mama yake diamond, kauli hiyo ya ommy nimeshtuka sana
Kuna ukweli .......mafanikio ni tofauti na baraka, vijana/ watu wengi wana mafanikio ila mafanikio yao hayajabarikiwa, why?! Mungu ndio mtoa baraka na mafanikio yasokua na masharti. Ila shetani anaweza kukupa mafanikio (kwa masharti) ila uwezo wa kukubariki hana.Sina team yoyote ila kwa hizi siku 2 diamond umejishushia hadhi sana.... Halafu si kila afanikiwae huwa ni bless za jah..... Na si kila ambae hajafanikiwa hana bless za jah na haistahili kumbeza.... Mtoaji ni mungu alie hai
Hapo ndipo mnapokosea watu... hivi KABISA KABISA ulitarajia Dimpoz angesema "nilikuwa na-mind sana mshikaji alivyokuwa anapiga hatua?" Did you expect that? Nakubaliana na minji moja kwa moja and from my experience! One of my favorite song dunia hii ni "Machoni Kama Watu!" Do you know why?
Hakuna asiyejua kwamba kwenye suala la views Dimpoz kamlenga Chibu; kwenye kufanya muziki kiujanja ujanja kamlenga Chibu; kwenye suala la muziki mbaya kamlenga Chibu... lakini kwavile Radioni kaongea kinafiki huku akijifanya too innocent; majority mmeingia king! Matokeo yake leo hii Diamond anaonekana mbaya kuelezea mafanikio yake... lakini ana haki hiyo: "mimi sijui kuimba; mnajua nyinyi; mimi nanunua views na views za ukweli mnapata nyinyi; mimi nina sauti mbaya; na wenye sauti mzuri ni nyinyi.... sasa inakuaje tena huyo huyo ambae ni mbaya kila eneo lakini ndie anafanya vizuri?" Huu ndo ukweli ambao hamtaki kuusikia kwavile mmetekwa na "fake innocency" ya Ommy Dimpoz! To be honest inakera... mtu una-fight usiku na mchana hadi wapuuzi wengine wanafikia kusema anamtia mama ake... halafu anatokea mpuuzi anakuambia unafanya muziki wa kiujanja ujanja!" Watu wanafahamu moja ya mafanikio makubwa ya Diamond ni video zilizoenda shule... mle hamna uchawi zaidi ya ku-invest millions of shillings... ukifanya vizuri; anatokea mtu anasema unafanya muziki kiujanja ujanja... kwanini usimtukane ukikumbuka mateso unayopata!!
Unless uwe mnafiki ndo unaweza kuvumilia or else; utafyatuka tu!!! Na hata katika hili; is all about what is best for you: UNAFIKI AU REALITY!
Na msisahau kwamba, hadi mambo yanakuja mitandaoni yanaanza chini chini! Na aliyeyaleta huku mitandaoni ni huyo Dimpoz mnayemtetea baada ya kusema "watu wananunua views" huku watu wakijifanya hawajui kamlenga nani!!! Ni mwendelezo ule ule wa "kununua tuzo....!"
Binamu ushabiki wako kwa domo too much punguza bana, domo ni nani? Kama akikosea lazima mkubali, kukosea kwake hakubadilushi kitu bali kujishusha tu mama msanii mkubwaSasa kukimbia nini hapa nifah? Kwanza ni post ya saa 9:18 PM nami ndo kwanza naiona 2:54 AM; karibu saa 6 baadae na kama usingeni-mention; wala nisingeiona simply because niliona notification yako na ya atoto; nikaona hawa "wangu", ngoja ni-login nijue kulikoni... kwahiyo haina kukimbia bhana!!
Baada ya hiyo intro; nimesoma post husika... mbona naona kama ni wa kujibu ni mashabiki wa Ommy Dimpoz kuliko wa Diamond? Manake hapo Diamond kasema yake... wanaopaswa kujibu au kutetea ni mashabiki wa Dimpoz... lakini kwavile imezoeleka kwamba adui wa "adui" yako ni rafiki basi nilitarajia mashabiki wa Kiba ndio hasa wanaopaswa kujimwayamwaya kwenye huu uzi kuliko mashabiki wa Diamond!! Kwahiyo usishangae kutowaona mashabiki wa Diamond kwa sababu; hawana sababu ya kuja kwenye huu uzi na ndio maana ukiangalia... kama ni dongo la gizani aliyepigwa ni Dimpoz na yeye na watu wake ndo wanatakiwa kulia lia humu na sio mashabiki wa Diamond!!!
Hii issue nashangaa watu wanaiona mpya wakati mimi nilishaunyaka ubuyu tokea mwaka 2014.Domo laana ya kulala na mama are nzazi inamtafuna na bado mwaka huu
Mhhhhhh ni hujaelewa au hii ni khabari mpya?Ommy nyembo kweli ni madha faaka, yani kampitia hadi mama yake domo na uzee ule
Imenishangaza inawezakana kabisa bifu limeanzia hapaMhhhhhh ni hujaelewa au hii ni khabari mpya?
Diamond povu hilooo kama amekunywa juice ya foma gold.Mungu azidi kumsimamia Diamond Platnumz, wamezoea kutafuta kiki kupitia yeye.
Mumuache nae awape zake, wakome.
Wakitaka kurudi na nyimbo lazima Diamond y sio Mr. Nice, upwumba umewajaa ila kwake ndio anazidi kushamili
Haya kaenda kazini, njooni nanyi mburudike na show yake.
Diamond pia ni mwanadamu, hawezi kukubali flani awe juu y[U[/URL]ake, hivyo majungu, fit in a bad choko choko lazima awe nazo kama wengine, but anakosea kujigamba hadharani eti mungu kambarik yeye kuliko mwingine, naon kanfanya mungu baby take, hajui mungu so binafamu, lbda kama Ana mugu bahari anayemwabuduIssue ni kwamba, miaka nenda rudi hapa watu wamekuwa wakimwombea mabaya... tuache unafiki wa kujifanya waungwana!!Hata ukitafuta threads za kuomba mabaya hapa JF, nyingi ni za HATERS wa Diamond...!!! Kuombea mabaya ni roho za kishetani... sasa ikiwa kila wakati watu (wenye roho ya kishetani) wanahangaika kumuombea mtu mabaya lakini mabaya hayo mtu hayamkuti; there's no way kwamba mtu huyo atakuwa analindwa na nguvu za kishetani manake ni hizo hizo nguvu za kishetani zinazomuombea adondoke huku wakisahau there's ONLY ONE Protector; nae ni Mwenyezi Mungu! Tatizo lenu mnadhani fulani ndo anapaswa kubezwa; siku akisema "enough is enough" watu mnakuja na gia za "mimi sina timu yoyote!" Toeni comments kama mnavyo-feel na sio kujificha kwenye kichaka cha "sina timu yoyote" cuz' it means nothing!
Punguza jazba.Nenda kafie Mbele
Ndiye mnaye mtuma achokoze watu apate buster.
Siyo habari mpya ila nimeshangazwa kusikia ommy kamlala yule mamaMhhhhhh ni hujaelewa au hii ni khabari mpya?
Interview ya Ommy imewaacha uchi hadi Rayvann analalamika kuwa hapendezwi na ujinga unaofanywa na Domo anawatia aibu.Ha ha haaaaaa
Mwambieni Omi atoe hiyo pesa afanye collabo, sababu Davido yupo kwani alimkimbia au?
Kichekesho cha mwaka
Watu wanafanya collabo kwa nini yeye iwe Diamond alimtangulia kwani collabo zilipigwa marufuku tangu
Mbavu zangu, hawa wasaniii wengine umaskini unawasumbua kama omimi
Eti kabarikiwa kuliko wengine, tutayaona tu yetu macho, labda mwenzetu Mungu babu yake anambarik yye tuHahaha hana akili kwa kweli amesahau wacha mungu kama ayubu walivyofanyiwa kwa mapigo kumi,
Halafu wasio mcha mungu kama mafreemason wanavyoteka dunia ya leo..
Jamaa kakosa akili
Hayo maneno si mazur kabisa kuongelewa na mtu kama yeye,na hakuna sehem yoyote aliyotajwa na Ommy kuwa ana roho mbaya namshaur Ommy anyamaze kimya hili suala litapita tuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee Ommy amewakata vilimi poleni sanasasa mimi nashangaa
kwani davido alivofanya collabo na chibu kakimbia?
au iyanya kaacha mziki?
si akafanye nae na yeye?!
ommy anataka kujifanya kama innocent alionewa ...
kila kitu kina mipaka bwana sio kufatana fatana kama wanawake!
halafu sasa kama diamond angekua na roho mbaya asinge wasainisha kina rich mavoko akawakuza!
diamond hajaziba ridhiki ya mtu yoyote.. mwenye kutaka kwenda international aende kimpango wake jamani njia siwanazijua?!
urafiki sio mpaka kwenye kazi! muziki ni ushindani kila mtu lazima afiche karata yake..
yeye ommy alitaka kubebwa mpaka lini??