Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Team mdomo mkubwa umepaniki hahaaa hapa nackiliza moja moja lupela kwa mbaliiSawa mkaka wa team kiba, kanunue na tisheti yenye picha yake kisha nunua na mapicha yake kabandike na geto, kwenye profile picha ya FB yako weka picha yake na kwenye wasapu yako pia, kwenye simu weka muito wa nyimbo zake tu.
Diamond alianza kumchukia Ommy baada ya yeye kuachana na Wema na Ommy kuzidisha ukaribu kwa Wema.Domo kapanic sana mpaka anamtolea mwenzie maneno makali, hata kama ni kweli ommy anapumuliwa ni yeye, kuna kitu kinamuuma sana domo, sijui anaumia na nn wkat amefanikiwa kuliko ommy, IPO siku tutajua ukweli
Tatizo sio ommy kupumuliwa, domo Ana la moyoni hatak kulitoa tu
Kilaza kabisaSikujua kama dee Ni zumbukuku kiasi hiki..ngoja tuone mwisho wake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] baite baiteJamani wale team diamond vingunge wenyewe mko wapi?
Mbona mmekaa kimya sana katika hili sakata ilhali mpo humu?
Tunahitaji kusikia kutoka kwenu kuhusiana na hili,sio sawa kabisa kukimbia jukwaa kwa issue kubwa namna hii inayomhusu mnayemtetea huku kila uchwao.
Siku 2/3 hizi mmetuachia jukwaa,tunawamisssssss
cc Chinga One chige The bold
Kulala na mamake vepeeee[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Diamond anasahau kuwa hata shetan pia anaweza kumfanikisha mtu, asisingizie mafanikio yake ni mungu, maana matendo yke sio ya mtu aliyebRikiwa na mungu, akumbuke kuna mungu, asilewe umaarufi
Yo welcomeAsanteeee nakunywa sminorf ya baridiiiiii
Domo anchukia king kwahiyo ommy kufanya kolabo na kiba imemuuma na isitoshe wimbo ukahit ndo hapo na yeye akatoa kokoro fasta ili kuizima kajiandae .. Ila aisee malezi alolelewa diamond yanatia aibu kwa msaniiDomo kapanic sana mpaka anamtolea mwenzie maneno makali, hata kama ni kweli ommy anapumuliwa ni yeye, kuna kitu kinamuuma sana domo, sijui anaumia na nn wkat amefanikiwa kuliko ommy, IPO siku tutajua ukweli
Tatizo sio ommy kupumuliwa, domo Ana la moyoni hatak kulitoa tu
Sasa hivi naona watu wamejawa na malumbano yaliyo tawaliwa na hisia na makhaba!Jamani wale team diamond vingunge wenyewe mko wapi?
Mbona mmekaa kimya sana katika hili sakata ilhali mpo humu?
Tunahitaji kusikia kutoka kwenu kuhusiana na hili,sio sawa kabisa kukimbia jukwaa kwa issue kubwa namna hii inayomhusu mnayemtetea huku kila uchwao.
Siku 2/3 hizi mmetuachia jukwaa,tunawamisssssss
cc Chinga One chige The bold
Leo nimefurahi kuliko!Sasa hivi naona watu wamejawa na malumbano yaliyo tawaliwa na hisia na makhaba!
Tunasubiri kwanza huu upepo wa malumbano kwa makhaba ya team upite then tutakuja hapa kujadili kwa FACTS.!!
Wiki hii naona umefurahi sana mama! Unahisi kama team kiba is winning[emoji19] .. Ila usisahau who we are, we are WCB! We know how to WIN [emoji123]
Nitarudi [emoji12] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Leo nimefurahi kuliko!
Wapi weweeeee kwenye hili hamchomoki.
Ukweli ni kwamba Chibu kawavua nguo,najua huwezi kukiri hili hadharani.
Pole sana [emoji6]
Kwako auYo welcome
Hii comment imekuexpose wewe ni mwanaume lakini unajiita jina la kike...sasa mimi nashangaa
kwani davido alivofanya collabo na chibu kakimbia?
au iyanya kaacha mziki?
si akafanye nae na yeye?!
ommy anataka kujifanya kama innocent alionewa ...
kila kitu kina mipaka bwana sio kufatana fatana kama wanawake!
halafu sasa kama diamond angekua na roho mbaya asinge wasainisha kina rich mavoko akawakuza!
diamond hajaziba ridhiki ya mtu yoyote.. mwenye kutaka kwenda international aende kimpango wake jamani njia siwanazijua?!
urafiki sio mpaka kwenye kazi! muziki ni ushindani kila mtu lazima afiche karata yake..
yeye ommy alitaka kubebwa mpaka lini??
Competition.. Ukiingia kwenye corporate world utajua nini maana ya competition. Kwa hapo siwezi kumlaumu Diamond bali Dimpoz kwa kumwamini rafiki yake mpaka kumtajia pesa ya mkataba aliokuwa aingie na Davido..Sasa MTU kama we bora ukae kmya,sio kwamba alishindwa kutoa pesa ila kwa nn diamond apandishe dau wakat dimpoz alikuwa ashaweka dau lake isitoshe ni washkaj waliokuwa wameshibana
Babu una ushaidi gani kuwa dimpoz shoga usha wai kutoka nae take care boy usishabikie kwa mkumboKina Elton John Naona Wamejazana Humu Kumtetea Mwenzao.Mimi Nawaomba Kabla Ya Kumtabiria Mtu Anguko Kazi Ambayo Mmekuwa Mkiifanya Kwa Miaka 6 Sasa.JITABIRIENI BASI NA NINYI KUWA MTAKUWA MABILLIGATES BAADA YA MIAKA 5.HUMU DIMPOZ MIJITU ILIMTUKANA KIPINDI KILE KASEMA NGWAIR MASIKINI, LEO WANAMTETEA NA USHOGA WAKE.WATU WANAFIKIII.AKILI ZA TEAM KIBA NA BAVICHA ZINAFANANA - AKILI ZIMEBAKI MATUSI,TABIRI NA KUDEKI BARABARA.