Diamond atoa jibu la utata kufuatia interview ya Ommy Dimpoz

Diamond atoa jibu la utata kufuatia interview ya Ommy Dimpoz

Elimu elimu elimu uyu jamaa tatizo shule hana
 
Sawa mkaka wa team kiba, kanunue na tisheti yenye picha yake kisha nunua na mapicha yake kabandike na geto, kwenye profile picha ya FB yako weka picha yake na kwenye wasapu yako pia, kwenye simu weka muito wa nyimbo zake tu.
Team mdomo mkubwa umepaniki hahaaa hapa nackiliza moja moja lupela kwa mbalii
 
kilichonikimbiza kule fb ndio nakutana nacho huku, nlivyoskia jf kuna magreat thinker nkajua ntajifunza mambo muhimu, sasa naona kumbe huku napo kuna mahewa, KWA MWENYE AKILI ATAELEWA DIMPOZ ALICHOONGEA, SISI HATUJUI MAISHA YAO ILA TUNAWAPIMA KWA WANAVYOBISHANA, KWAMIMI NAONA DIMPOZ NI MZUNGUMZAJ MZURI NA PIA ANA NIZAMU YA HALI YA JUU, SASA HAWA TEAM [HASHTAG]#MIHEMKO[/HASHTAG] WANAJIBU TUU, NENDEN FB KULE
 
Domo kapanic sana mpaka anamtolea mwenzie maneno makali, hata kama ni kweli ommy anapumuliwa ni yeye, kuna kitu kinamuuma sana domo, sijui anaumia na nn wkat amefanikiwa kuliko ommy, IPO siku tutajua ukweli

Tatizo sio ommy kupumuliwa, domo Ana la moyoni hatak kulitoa tu
Diamond alianza kumchukia Ommy baada ya yeye kuachana na Wema na Ommy kuzidisha ukaribu kwa Wema.

Ila ile haikuwa big deal kama Hii ya sasa baada ya Ommy kuamua kujiunga team Kiba.
Diamond kaumia sana...sana.

Maadui zako wanapoungana lazima udate aiseee [emoji12]
 
Jamani wale team diamond vingunge wenyewe mko wapi?
Mbona mmekaa kimya sana katika hili sakata ilhali mpo humu?
Tunahitaji kusikia kutoka kwenu kuhusiana na hili,sio sawa kabisa kukimbia jukwaa kwa issue kubwa namna hii inayomhusu mnayemtetea huku kila uchwao.

Siku 2/3 hizi mmetuachia jukwaa,tunawamisssssss

cc Chinga One chige The bold
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] baite baite
 
Diamond anasahau kuwa hata shetan pia anaweza kumfanikisha mtu, asisingizie mafanikio yake ni mungu, maana matendo yke sio ya mtu aliyebRikiwa na mungu, akumbuke kuna mungu, asilewe umaarufi
Kulala na mamake vepeeee[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Domo kapanic sana mpaka anamtolea mwenzie maneno makali, hata kama ni kweli ommy anapumuliwa ni yeye, kuna kitu kinamuuma sana domo, sijui anaumia na nn wkat amefanikiwa kuliko ommy, IPO siku tutajua ukweli

Tatizo sio ommy kupumuliwa, domo Ana la moyoni hatak kulitoa tu
Domo anchukia king kwahiyo ommy kufanya kolabo na kiba imemuuma na isitoshe wimbo ukahit ndo hapo na yeye akatoa kokoro fasta ili kuizima kajiandae .. Ila aisee malezi alolelewa diamond yanatia aibu kwa msanii
 
Jamani wale team diamond vingunge wenyewe mko wapi?
Mbona mmekaa kimya sana katika hili sakata ilhali mpo humu?
Tunahitaji kusikia kutoka kwenu kuhusiana na hili,sio sawa kabisa kukimbia jukwaa kwa issue kubwa namna hii inayomhusu mnayemtetea huku kila uchwao.

Siku 2/3 hizi mmetuachia jukwaa,tunawamisssssss

cc Chinga One chige The bold
Sasa hivi naona watu wamejawa na malumbano yaliyo tawaliwa na hisia na makhaba!
Tunasubiri kwanza huu upepo wa malumbano kwa makhaba ya team upite then tutakuja hapa kujadili kwa FACTS.!!

Wiki hii naona umefurahi sana mama! Unahisi kama team kiba is winning[emoji19] .. Ila usisahau who we are, we are WCB! We know how to WIN [emoji123]

Nitarudi [emoji12] [emoji23] [emoji23]
 
Leo nimefurahi kuliko!

Wapi weweeeee kwenye hili hamchomoki.

Ukweli ni kwamba Chibu kawavua nguo,najua huwezi kukiri hili hadharani.
Pole sana [emoji6]
 
sasa mimi nashangaa
kwani davido alivofanya collabo na chibu kakimbia?
au iyanya kaacha mziki?
si akafanye nae na yeye?!
ommy anataka kujifanya kama innocent alionewa ...
kila kitu kina mipaka bwana sio kufatana fatana kama wanawake!
halafu sasa kama diamond angekua na roho mbaya asinge wasainisha kina rich mavoko akawakuza!
diamond hajaziba ridhiki ya mtu yoyote.. mwenye kutaka kwenda international aende kimpango wake jamani njia siwanazijua?!

urafiki sio mpaka kwenye kazi! muziki ni ushindani kila mtu lazima afiche karata yake..
yeye ommy alitaka kubebwa mpaka lini??
Hii comment imekuexpose wewe ni mwanaume lakini unajiita jina la kike...

"Sio kufatana fatana kama wanawake" hakuna mwanamke anayeweza tamka hicho ulichoandika..

Angalia usije ukawa shoga kujiita majina ya kike kwenye mitandao
 
Sasa MTU kama we bora ukae kmya,sio kwamba alishindwa kutoa pesa ila kwa nn diamond apandishe dau wakat dimpoz alikuwa ashaweka dau lake isitoshe ni washkaj waliokuwa wameshibana
Competition.. Ukiingia kwenye corporate world utajua nini maana ya competition. Kwa hapo siwezi kumlaumu Diamond bali Dimpoz kwa kumwamini rafiki yake mpaka kumtajia pesa ya mkataba aliokuwa aingie na Davido..

Kibiashara Dimpoz hakutakiwa adisclose amount kabla ya makubaliano ya mwisho kufanyika..
 
Kina Elton John Naona Wamejazana Humu Kumtetea Mwenzao.Mimi Nawaomba Kabla Ya Kumtabiria Mtu Anguko Kazi Ambayo Mmekuwa Mkiifanya Kwa Miaka 6 Sasa.JITABIRIENI BASI NA NINYI KUWA MTAKUWA MABILLIGATES BAADA YA MIAKA 5.HUMU DIMPOZ MIJITU ILIMTUKANA KIPINDI KILE KASEMA NGWAIR MASIKINI, LEO WANAMTETEA NA USHOGA WAKE.WATU WANAFIKIII.AKILI ZA TEAM KIBA NA BAVICHA ZINAFANANA - AKILI ZIMEBAKI MATUSI,TABIRI NA KUDEKI BARABARA.
Babu una ushaidi gani kuwa dimpoz shoga usha wai kutoka nae take care boy usishabikie kwa mkumbo
 
Back
Top Bottom