Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa MTU kama we bora ukae kmya,sio kwamba alishindwa kutoa pesa ila kwa nn diamond apandishe dau wakat dimpoz alikuwa ashaweka dau lake isitoshe ni washkaj waliokuwa wameshibanaHa ha haaaaaa
Mwambieni Omi atoe hiyo pesa afanye collabo, sababu Davido yupo kwani alimkimbia au?
Kichekesho cha mwaka
Watu wanafanya collabo kwa nini yeye iwe Diamond alimtangulia kwani collabo zilipigwa marufuku tangu
Mbavu zangu, hawa wasaniii wengine umaskini unawasumbua kama omimi
wataanzisha uzi kesho wa kumponda ommy mstaarabuJamani wale team diamond vingunge wenyewe mko wapi?
Mbona mmekaa kimya sana katika hili sakata ilhali mpo humu?
Tunahitaji kusikia kutoka kwenu kuhusiana na hili,sio sawa kabisa kukimbia jukwaa kwa issue kubwa namna hii inayomhusu mnayemtetea huku kila uchwao.
Siku 2/3 hizi mmetuachia jukwaa,tunawamisssssss
cc Chinga One chige The bold
Hehehehehehe!Unaweza ukawa mjanja duniani ahela ukaenda kuwa zoba.
Kweli kabisaNi bora Diamond angekaa kimya tu kuliko kuandika upuuzi kama huo.
To be honest, sipo upande wowote, lakini kwa jinsi Ommy Dimpoz alivyofanya interview nzuri sana leo, nimemkubali sana.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Jamani wale team diamond vingunge wenyewe mko wapi?
Mbona mmekaa kimya sana katika hili sakata ilhali mpo humu?
Tunahitaji kusikia kutoka kwenu kuhusiana na hili,sio sawa kabisa kukimbia jukwaa kwa issue kubwa namna hii inayomhusu mnayemtetea huku kila uchwao.
Siku 2/3 hizi mmetuachia jukwaa,tunawamisssssss
cc Chinga One chige The bold
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] binamu hii issue imekuibua pangoni!Diamond anasahau kuwa hata shetan pia anaweza kumfanikisha mtu, asisingizie mafanikio yake ni mungu, maana matendo yke sio ya mtu aliyebRikiwa na mungu, akumbuke kuna mungu, asilewe umaarufi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Leo umefurahije sasa?domo ni zero-brain
Asanteeee nakunywa sminorf ya baridiiiiiiKaribu sana team mziki mzuri, Vita kiti ukae, unakunywa kinywaji gani
Domo kapanic sana mpaka anamtolea mwenzie maneno makali, hata kama ni kweli ommy anapumuliwa ni yeye, kuna kitu kinamuuma sana domo, sijui anaumia na nn wkat amefanikiwa kuliko ommy, IPO siku tutajua ukweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] binamu hii issue imekuibua pangoni!
Si mchezo.
aiseee nilichogundua huyu Domo kweli alimfanyia fitina Ommy kwenye collabo ya davido na iyanya,kwenye mpira tunasema Domo kapindua matokeo hivi hivi ili afanye yeye kolabo[emoji23] [emoji23] [emoji23] Leo umefurahije sasa?
Of evilTimu mafuvu mezani lazma uwe na roho mbaya utakaaje na kifuvu kama so...
huyu Domo ndo atakuwa anapumuliwa yeye kwanini ametoboa pua?Domo kapanic sana mpaka anamtolea mwenzie maneno makali, hata kama ni kweli ommy anapumuliwa ni yeye, kuna kitu kinamuuma sana domo, sijui anaumia na nn wkat amefanikiwa kuliko ommy, IPO siku tutajua ukweli
Tatizo sio ommy kupumuliwa, domo Ana la moyoni hatak kulitoa tu