warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Walikuwepo akina michale Jackson lro wako wapi? Domo asivimbe sana kochwa akasahau kuna mungu a kuna kufaHivi Diamond wa Number One Remix na Diamond wa kabla ya Number I Remix; ni Diamond yupi hasa alitakiwa kumuogopa Ommy Dimpoz?! Kwanini hakumuhofia Dimpoz wa Me & You ambae ile ngoma hadi kesho sidhani kama Dimpoz mwenyewe ameweza kuifunika?!