Diamond atoa jibu la utata kufuatia interview ya Ommy Dimpoz

Diamond atoa jibu la utata kufuatia interview ya Ommy Dimpoz

Hivi Diamond wa Number One Remix na Diamond wa kabla ya Number I Remix; ni Diamond yupi hasa alitakiwa kumuogopa Ommy Dimpoz?! Kwanini hakumuhofia Dimpoz wa Me & You ambae ile ngoma hadi kesho sidhani kama Dimpoz mwenyewe ameweza kuifunika?!
Walikuwepo akina michale Jackson lro wako wapi? Domo asivimbe sana kochwa akasahau kuna mungu a kuna kufa
 
Ina maana hukumsikia jana akisema "unasema unampumulia mtu, afu unamkuta na taulo anatoka chumbani kwa mama yako, utamwita uncle au dady?" Kwa masikio yangu mawili nilosikia alivyokuwa anahojiwa na clouds jamaa wakauliza whaaat.
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Dada yangu hebu weka akiba ya maneno kidogo basi, anakwambia kwa Davido yeye alkuwa anatoa dola 3000 mkubwa katoa elfu tano hapo definitely huyu bwana thamani imepanda, sasa unajua vipi kama ile ndo ilkuwa senti yake ya mwisho?? Na it seems kama mwana he knew this... Hapa lazma hata km ni ww ujisikie vibaya, hii can be the same applied kwa Iyanya. Na kuhusu suala la kuwasaini akina Rich n co. sio bure hyo ni biashara na kuna mtonyo anapiga pale so sio km uthibitisho wa roho safi na kujitolea fursa ile. Anyways hatuyajui mengi nyuma ya pazia ila naomba tu next time usitumie hoja nyepesi kutoa hitimisho ktk masuala mazito na nyeti
mkitaka kujua mengi
hebu waiteni waongee mema na mabaya yao yoote
tuone nani mbaya..
na hata tukijua mbaya bado haisaidii kwani wakiishi bila kutupiana madongo maisha hayaendi?
tatizo wanapenda sana kumchokoza diamond!
na yeye ana moyo jamani
huwezi jua anayasikia mangapi
 
diamond hana wivu
hawa watu walitaka kutembelea nyota yake..
yani yeye awe anawatafunia wana meza
sasa kawakacha
ndio maana kutwa nzima wanashinda maredioni kulia lia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
wanaume wa kigoma sijui vipi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata huyo Diamond ni wa kigoma....!!!
 
Ina maana hukumsikia jana akisema "unasema unampumulia mtu, afu unamkuta na taulo anatoka chumbani kwa mama yako, utamwita uncle au dady?" Kwa masikio yangu mawili nilosikia alivyokuwa anahojiwa na clouds jamaa wakauliza whaaat.
Tobaaaaaa [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
Ila haishangazi kwa mama Chibu,ndio zake na vijana.
 
Tobaaaaaa [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
Ila haishangazi kwa mama Chibu,ndio zake na vijana.
Tena hilo alisema, kwamba unajua mama zetu wanapenda mambo ya vijana, wako hadi instagram
 
HV huyo rich unamuona ndo rich wa follow me?? Marry me?? Pacha Wang?? Hapana aisee anguko la mavoko naliona soon
unaliona ww
sio wengine
rich anapata show saivi
hivi angeimba hio marry me sasa hivi yeye kama yeye nani angemsikiliza?
mziki bila faida ni sawa na gari bila mafuta!
ni sawa na kumsifia darassa anaimba vizuri wakati show za maana hana wala faida ya maana hapati
 
Safi sana Diamond Platnumz,walikusakama sana toka kitambo ila kama binadamu uvumilivu unafika mwisho unatakiwa pia kureact,wapo wengi watakao ona unajiona,unamaringo unajidai huku wakishindwa kutambua kuwa ni mtu ambae unatikanwa sana,kila tusi lakini ulikaa kimya saiv umewatolea uvivu na naamini hawatoweza tena kupata kiki kupitia wewe na wakiendelea kuchonga endelea kuwapa what they deserve.binafsi napenda unavyowajibu maana wewe siyo mnafiki.
Unajuaje kma sio mnafiki..?? Kwann mtu akisema neno hata kma hatuna uhakika ni kweli au si kweli tunasema "anatafuta kiki"..?? Utaficha wapi uso wako siku Diamond akija akakubali yote aliyosema Ommy kwmb ni kweli..!! Si utajiona wewe mjinga na ndo unatafuta kiki kwake kwa kumtetea...!!!
 
Hii comment imekuexpose wewe ni mwanaume lakini unajiita jina la kike...

"Sio kufatana fatana kama wanawake" hakuna mwanamke anayeweza tamka hicho ulichoandika..

Angalia usije ukawa shoga kujiita majina ya kike kwenye mitandao
njoo Pm nikupe picha yangu kaka.

mimi ni mwanammke rijali kabisa usiwe na hofu[emoji23][emoji23][emoji23]
kwani kusema kufatana fatana kama wanawake ni wanaume tu ndo wanasemaga?
hata wanawake tunaonaga tabia zetu kufatana fatana hakuna ishu
 
Hayo maneno si mazur kabisa kuongelewa na mtu kama yeye,na hakuna sehem yoyote aliyotajwa na Ommy kuwa ana roho mbaya namshaur Ommy anyamaze kimya hili suala litapita tuu
Anajihukumu mwenyewe,awazavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo...
 
Ha ha..wamanyema wamekutana,..huyu anasema alikataa kumpumulia mwenzake..huyu anasema amekula bi.mkubwa wa mwenzake.
 
mjinga huyu mswahilina wa tandale tayari kashaoneka hana akili
 
Diamond anakosea kwa level yake hakutakiwa kua na majibizano ya kijinga akae kimya kulinda heshima na hadhi yake
Hii itamfanya apate respect kubwa sana kuliko anavyojibu mambo ya kiswahili na kushiriki mabifu ya kijinga
 
Back
Top Bottom