Diamond atoa jibu la utata kufuatia interview ya Ommy Dimpoz

Diamond atoa jibu la utata kufuatia interview ya Ommy Dimpoz

njoo Pm nikupe picha yangu kaka.

mimi ni mwanammke rijali kabisa usiwe na hofu[emoji23][emoji23][emoji23]
kwani kusema kufatana fatana kama wanawake ni wanaume tu ndo wanasemaga?
hata wanawake tunaonaga tabia zetu kufatana fatana hakuna ishu
Muonyeshe na papuchi kabisa hyo next time harudii, aaah
 
Kina Elton John Naona Wamejazana Humu Kumtetea Mwenzao.Mimi Nawaomba Kabla Ya Kumtabiria Mtu Anguko Kazi Ambayo Mmekuwa Mkiifanya Kwa Miaka 6 Sasa.JITABIRIENI BASI NA NINYI KUWA MTAKUWA MABILLIGATES BAADA YA MIAKA 5.HUMU DIMPOZ MIJITU ILIMTUKANA KIPINDI KILE KASEMA NGWAIR MASIKINI, LEO WANAMTETEA NA USHOGA WAKE.WATU WANAFIKIII.AKILI ZA TEAM KIBA NA BAVICHA ZINAFANANA - AKILI ZIMEBAKI MATUSI,TABIRI NA KUDEKI BARABARA.
Watu hawamtetei dimpoz, wanatetea SITUATION na wanaponda maneno ya Diamond mtandaoni. Hata ungekuwa ni wewe, wangekutetea tu mkuu
 
Walikuwepo akina michale Jackson lro wako wapi? Domo asivimbe sana kochwa akasahau kuna mungu a kuna kufa
Hahaha...! Mpwa hiyo kauli unatakiwa kuwaambia haters ambao ni kawaida kuwasikia "anguko lake linakaribia....!" Mara oh, "hatadumu milele....!" Of course; hakuna anayedumu milele kwenye game... wengi walikuja wakapotea; hali kadhalika Diamond nae atapotea tu... halizuiliki hilo! Na kinachomfanya hadi sasa awe juu ni kwavile tu anaenda by blocks... huwaga hakimbilii hatua ya 3 kabla hajapiga ya pili! Kwa it's a matter of time... hilo halina mjadala mpwa!!!
 
Aaaaah, sawa
 
Diamond anakosea kwa level yake hakutakiwa kua na majibizano ya kijinga akae kimya kulinda heshima na hadhi yake
Hii itamfanya apate respect kubwa sana kuliko anavyojibu mambo ya kiswahili na kushiriki mabifu ya kijinga
ndicho alichokosea!
kuwajibu hawa vijana
ila tatizo alipatwa na jaza
hasira ni kitu cha kawaida
 
mkitaka kujua mengi
hebu waiteni waongee mema na mabaya yao yoote
tuone nani mbaya..
na hata tukijua mbaya bado haisaidii kwani wakiishi bila kutupiana madongo maisha hayaendi?
tatizo wanapenda sana kumchokoza diamond!
na yeye ana moyo jamani
huwezi jua anayasikia mangapi
Love becloud reasoning. Ungekuwa huna team km mimi nadhani hili lilikuwa jepesi sana, tatizo mnachanganya mahaba katika kuanalyze mambo. Kwa namna alivyoongea bwana Tupogo na alivyoongea Mr. Madale ndo inaleta picha husika. Inawezekana ana mema mengi ila kwa hili acheni tu kinachoonekana kisemwe. Anyways I'm out!!
 
Namie nashangaa kwani davido na iyanya wameacha kuimba? Si afanye hilo collabo

Mama Mchungaji nilikuwa nasubiri kuona kama na wewe intavyuu ya Ommy Dimpoz (Super Handsome) imekubadili msimamo.

Ila jamaa anajua kujitetea!
 
Hv tuna uhakika gani kma Dimpoz ni shoga?
Tuna uhakika gan kma Diamond sio shoga?
Tuna uhakika gani kama wote ni mashoga?
Ila tuna-assume na tunaexpect kwmb wote sio mashoga...!!!
We better not point fingers on others kma hatuna uhakika...!!!
 
mwanaume kamili huwezi kumwita mwanaume mwenzio D
interview nzima D,D,D
lazima kuna walakini
 
Mungu azidi kumsimamia Diamond Platnumz, wamezoea kutafuta kiki kupitia yeye.

Mumuache nae awape zake, wakome.

Wakitaka kurudi na nyimbo lazima Diamond y sio Mr. Nice, upwumba umewajaa ila kwake ndio anazidi kushamili

Haya kaenda kazini, njooni nanyi mburudike na show yake.
Zamaani kulikua kuna mtu anajiita Tanzanite,yeye alikua akisubiri Diamond atoe wimbo adai ni wa kwake kaibiwa halafu anaotoa kama ule.Yuko wapi siku hizi?
 
Back
Top Bottom