Diamond atoa lugha chafu kwa mashabiki

Diamond atoa lugha chafu kwa mashabiki

Kim Jong Jr

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2014
Posts
11,074
Reaction score
20,608
Katika hali isiyo ya kawaida diamond amewatolea maneno machafu mashabiki waliomkosoa tabia yake ya kutembea hovyo na Wasichana hali inayomkosesha Amani Mpenzi wake, Zari.


Hali hiyo imejitokeza kwenye post aliyoiweka diamond kwenye Ukurasa wake Wa Instagram akimtakia Heri ya kuzaliwa Zari.

771877fd11928fbf5f1697a80abe0714.jpg
 
Na wewe unaamini kua ni yeye. Diamond hajawai Ku reply Text za mashabiki zake.
 
Kosa si kosa bali kurudia kosa naamini kijana mondi kajifunza happy birthday major General zarina binti hassan
 
Hii ndio DAWA YA WAPUMBAVU wanaofatilia maisha ya wanaume wenzao.Cha aajabu utakuta babake ana watoto wa nje lakini hamtukani.

SAPOTI KAZI YA MSANII NA SIO KUINGILIA MAISHA YAKE .....HAYAKUHUSU KAMWE.
 
Kwani akipata ukimwi nyie itawauma nini mwacheni ale ujana
 
Hivi zari angezaa nje akakiri redioni watanzania wasemaji wa familia za watu wangesema 'kosa sio kosa kosa kurudia kosa'
 
Huku Lissu, Bunge, Serikali kule....
Diamond, Zari, Mabetto
TANZANIA YA VIWANDA
 
Back
Top Bottom