msukuma fekero
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 2,285
- 2,969
N
I kweli mkuu ila tumshauri hawa mashabiki njaa awapotezee anavyowajibu wanampunguzia credibility bureKosa si kosa bali kurudia kosa naamini kijana mondi kajifunza happy birthday major General zarina binti hassan