MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Wahuni tu hawa mastaa. Wanatoa kafara watoto wao.Safi sana genius Diamond Platnumz, tumeona trend ya maji kumaliza watoto wa mastaa.
Upi huo mkuuAmetumia busara.
Mtoto anauma sana.
Heri akomae na ule utaratibu wake mwingine aliosema amisa.
Hivi huwezi kuweka level ya magoti mtoto hayo maji
Hata kuna mbunge mmoja siku za karibuni alipoteza mtoto wake baada ya kuzama kwenye swimming pool hayo mambo wanaweza wazungu sisi waafrika akili zetu tunazijua wenyewe.Nadhani na mtoto wa D Banj nae alifariki hivyohivyo kama 2 yrs ago kwenye swimming pool nyumbani kwake. Juzi Mbezi beach kunadogo wa miaka around 10 hivi alifariki home kwao kwenye swimming pool baada ya ku-dive na kuangukia kichwa sakafuni pembeni ya swimming pool
Sie tuliokulia karibu na mabwawa na ziwani ukiwa na 4 years tu ushaanza kuyakata majiWatoto wanaweza kupoteza maisha hata kwenye bathtub mzee, we unasema maji ya ugoko!
Kama nyumbani kwako una swimming Pool au unaishi karibu na maji, solution ni kuwapa watoto darasa la kuogelea kuanzia umri wa miaka minne. Hata hivyo wanasema, children who swim can be drawn too, lakini inasaidia kwa asilimia kubwa sana pale wanapoteleza kwa bahati mbaya
Kuna mengi nyuma ya hivyo vifo.. Uzembe ukiwa mmojawapoSafi sana genius Diamond Platnumz, tumeona trend ya maji kumaliza watoto wa mastaa.
Amepaniki bure, hatari zipo nyingi sana..View attachment 2407447
Diamond platnumz ametoa maji ( drain) swimming pools zake zote wanapoishi wanae. Mind kadai sababu kubwa ya kufanya hivyo Ni kuongeza usalama kwa wanae.
Amewaandikia barua watumishi wake wote wanaohudumia nyumba hizo.