Diamond atoa maji kwenye swimming pools zake zote

Kutoa maji haitoshi ingawa ni precaution muhimu.

Ukiwa na swimming pool au watoto wenye hobby wapeleke wakapate training za swimming pale Dolphin au Blue Fin swimming Club. Mtoto mdogo anafundishwa kuogelea,uokoaji na tahadhari zote. Pia watumishi wako wapeleke wapate training za kuogelea na kuokoa. Na swiming pool kama hatumiki ifunikwe na nyavu au turubai.
 
Atafute nyavu kuyatoa maji sio solution maana mtoto akidumbukia anaweza kuumia vibaya pia
 
Kutoa maji haitoshi ingawa ni precaution muhimu.

Ukiwa na swimming pool au watoto wenye hobby wapeleke wakapate training za swimming pale Dolphin au Blue Fin swimming Club. Mtoto mdogo anafundishwa kuogelea,uokoaji na tahadhari zote. Pia watumishi wako wapeleke wapate training za kuogelea na kuokoa. Na swiming pool kama hatumiki ifunikwe na nyavu au turubai.
Enzi zetu tulikuwa tunaenda kuogelea tanganyika swimming club...
Hivi bado ipo kweli

Ova
 
hajui kuwa kuna neti special uwa zinafunikwa juu ya swimming pool haina ulazima wa kutoa maji na mazingira yanakuwa salama kabisa
 
Back
Top Bottom