Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Great thinker ..nmecheka balaaa"...nimesoma nikarudia sijaona tatizo la Azimio la Arusha, nikaona watu wakaitana kimya kimya wakaenda Zanzibar, waliporudi huko tukaona wanaongea chinichini, sie wenye akili tukajua ndio Azimio limekufa hilo..." Mwl. Nyerere
Nyoka amekua mkubwa kwa unga mnaompa.
MFA MAJI WEEE ,, ZARI NDIO UNAMPENDA SASA HAPO KAMOYO KANAKUUMA....HAPO HATA UKIPATA ZIGO JIPYA MAWAZO YOTE YAPO KWA MSOUTH.
Juzi si ameenda Amana akatoa 4m mkamsifia.mtoto mshamba sana uyo, yaan kila siku kaka zake tumsikie yeye, bas tumsikiage kwa mazur ili tumsapot lakin kila siku tunaskia sifa zake za umalaya tu kweli nimeamin maskin akipata matako hulia mbwata! na ndio maana wengine hasira zao wanaamua kumalizia kwa bi mkubwa tu ili waende nae sawa
Great thinker ..nmecheka balaaa
Hata kama umeni[emoji108] lkn nimeona nikusalimiepo, mi sijamboooMFA MAJI WEEE ,, ZARI NDIO UNAMPENDA SASA HAPO KAMOYO KANAKUUMA....HAPO HATA UKIPATA ZIGO JIPYA MAWAZO YOTE YAPO KWA MSOUTH.
Nabahat nzuri Zari nimwanamke asolilia kiboroooooo ,,, zali anataka heshima tuuuuu ,,pesa anazo hana njaaaaa....bila shaka hujawahi kumuonga ,, zari alikua kwako kwaajili yamaisha aloyakosa kwa Ivan .
Sasa amegundua yote nibure , kila maisha ameyapitia .
Zari mwanamke mwenye akili na anayejielewa !!!. Mhenga nimhenga tuuu....
Mwanamke kazaaa watoto watano lkn anavyowapeleka puta puta mabinti wakibongo hahahahahahah sijui sababu wabongo hawana hela[emoji57]
"Ukiona manyoya jua kaliwa"Leo zari anaitwa "yule wa south Africa"
Hahahahaaa wapi vibentenZari alikuwa anataka pesa tu. Mjanja sana yule demu mala paaa utasikia zari yupo na Bir gate
Kwa ubibi upi?Hahaha lakini Diamond nae alipotea njia yani yule Bibi kabisa.
Kwani umuoni wewe uki simama na zari si watu watajua zari mama yako.Kwa ubibi upi?
Kwani umuoni wewe uki simama na zari si watu watajua zari mama yako.