Diamond atoa mapovu kuhusu yanayoendelea mtandaoni

Diamond atoa mapovu kuhusu yanayoendelea mtandaoni

"...nimesoma nikarudia sijaona tatizo la Azimio la Arusha, nikaona watu wakaitana kimya kimya wakaenda Zanzibar, waliporudi huko tukaona wanaongea chinichini, sie wenye akili tukajua ndio Azimio limekufa hilo..." Mwl. Nyerere
Great thinker ..nmecheka balaaa
 
99478436d87ddd5eed98bebdb3d63f69.jpg
7acba7b9c38925f7fc36635a4018e1a4.jpg
Nyoka amekua mkubwa kwa unga mnaompa.
 
MFA MAJI WEEE ,, ZARI NDIO UNAMPENDA SASA HAPO KAMOYO KANAKUUMA....HAPO HATA UKIPATA ZIGO JIPYA MAWAZO YOTE YAPO KWA MSOUTH.

Nabahat nzuri Zari nimwanamke asolilia kiboroooooo ,,, zali anataka heshima tuuuuu ,,pesa anazo hana njaaaaa....bila shaka hujawahi kumuonga ,, zari alikua kwako kwaajili yamaisha aloyakosa kwa Ivan .

Sasa amegundua yote nibure , kila maisha ameyapitia .

Zari mwanamke mwenye akili na anayejielewa !!!. Mhenga nimhenga tuuu....

Mwanamke kazaaa watoto watano lkn anavyowapeleka puta puta mabinti wakibongo hahahahahahah sijui sababu wabongo hawana hela[emoji57]
 
mtoto mshamba sana uyo, yaan kila siku kaka zake tumsikie yeye, bas tumsikiage kwa mazur ili tumsapot lakin kila siku tunaskia sifa zake za umalaya tu kweli nimeamin maskin akipata matako hulia mbwata! na ndio maana wengine hasira zao wanaamua kumalizia kwa bi mkubwa tu ili waende nae sawa
Juzi si ameenda Amana akatoa 4m mkamsifia.
 
MFA MAJI WEEE ,, ZARI NDIO UNAMPENDA SASA HAPO KAMOYO KANAKUUMA....HAPO HATA UKIPATA ZIGO JIPYA MAWAZO YOTE YAPO KWA MSOUTH.

Nabahat nzuri Zari nimwanamke asolilia kiboroooooo ,,, zali anataka heshima tuuuuu ,,pesa anazo hana njaaaaa....bila shaka hujawahi kumuonga ,, zari alikua kwako kwaajili yamaisha aloyakosa kwa Ivan .

Sasa amegundua yote nibure , kila maisha ameyapitia .

Zari mwanamke mwenye akili na anayejielewa !!!. Mhenga nimhenga tuuu....

Mwanamke kazaaa watoto watano lkn anavyowapeleka puta puta mabinti wakibongo hahahahahahah sijui sababu wabongo hawana hela[emoji57]
Hata kama umeni[emoji108] lkn nimeona nikusalimiepo, mi sijambooo
 
Zari alikuwa anataka pesa tu. Mjanja sana yule demu mala paaa utasikia zari yupo na Bir gate
 
Diamond anajiona keki siku hiz Kisa dj Khalid kamfollow na anapostiwa na Rick Ross.

Ngoja uamke siku hiyo ndude huioni.
 
Kuachwa..... kuachwa..... kuachwa.....kuachwa ni shughuli pevu
 
Back
Top Bottom