MFA MAJI WEEE ,, ZARI NDIO UNAMPENDA SASA HAPO KAMOYO KANAKUUMA....HAPO HATA UKIPATA ZIGO JIPYA MAWAZO YOTE YAPO KWA MSOUTH.
Nabahat nzuri Zari nimwanamke asolilia kiboroooooo ,,, zali anataka heshima tuuuuu ,,pesa anazo hana njaaaaa....bila shaka hujawahi kumuonga ,, zari alikua kwako kwaajili yamaisha aloyakosa kwa Ivan .
Sasa amegundua yote nibure , kila maisha ameyapitia .
Zari mwanamke mwenye akili na anayejielewa !!!. Mhenga nimhenga tuuu....
Mwanamke kazaaa watoto watano lkn anavyowapeleka puta puta mabinti wakibongo hahahahahahah sijui sababu wabongo hawana hela[emoji57]