Diamond atoa mapovu kuhusu yanayoendelea mtandaoni

Diamond anato.mb.a wengine lakini miguno na kelele mwapiga nyie..
 
Hacha habar za kusikiliza shirawadu Na kufanyia kazi ZARI ni Mwanamke mmoja matata mm ni mbongo ukimwacha namkanyaga hata kwa kuuza nyumba ya urithi

Diamond ni MPUMBAVU!. Hata ukiwakusanya machangu wote anaohangaika nao wa hapa bongo na yule wa Big Brother sijui upumbavu gani, hawawezi kufikia hata Robo ya Zari.

Tena kama hajui anakwenda kuporomoka kiana hadi ashangae. Nani kati ya hao Mamalaya mwenye uwezo wa kumpandisha chat mwanaume kama Zari? Au hajui kama katembelea nyota ya Zari hapo alipo na sasa kajisahau? Hiki kimalaya kingine chenye macho kama kichawi, kitamwendesha kiswahili hadi asahau kuoga. Kitakahkikisha kinamfilisi kuanzia jina hadi akili.

Huyu kijana ni pumbavu sana.!
 
Hivi we domondi hichi unachokifanya unatekeleza ilani Ya chama cha mapinduzi au ? Toka uambiwe ukiwa na sperm tayari una kiwanda basi imekuwa shida
 
Aisee...kiburi sana huyu jamaa "kojoa dhahabu , ina sukari"...anyway kila mtu apambane na hali yake...funzo kwa wadada mkijirahisisha mtafunuliwa sana hasa kama hujielewi na mtoto juu na unaacha au kuachika manake tabia hizo hakuna mvumilivu.
Lugha gani hiyo, anatuaibisha wa tz. Tafsida hazijui nini? Amenitoka kabisa, nafuta zote.
Hahaaaaaaa
 
Tupate ujumbe kidogo halafu tutarejeaaa!!

Mkuu unaongea na simu au na sisi?
 
halafu mtu fulan ana wa "harass" waalimu dah
 
Umesema domo haache habali za kusikiriza shirawadu na kufanyia kazi na Zali, aisee nahitaji kumfahamu mwalimu wako wa vidudu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Chunga kopo lako wewwee na mpumbavuu..?
Kati ya Kiba na Mond nani mpumbavu?
Utaolewa dogo kwa chuki zako
 
Atakuwa mngoni huyu..hawa ndo huweka H nyuma ya A kwenye neno ambalo si la kukanusha. Hameenda shambani vs hajaenda shambani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…