Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hacha habar za kusikiliza shirawadu Na kufanyia kazi ZARI ni Mwanamke mmoja matata mm ni mbongo ukimwacha namkanyaga hata kwa kuuza nyumba ya urithi
Lugha gani hiyo, anatuaibisha wa tz. Tafsida hazijui nini? Amenitoka kabisa, nafuta zote.Aisee...kiburi sana huyu jamaa "kojoa dhahabu , ina sukari"...anyway kila mtu apambane na hali yake...funzo kwa wadada mkijirahisisha mtafunuliwa sana hasa kama hujielewi na mtoto juu na unaacha au kuachika manake tabia hizo hakuna mvumilivu.
Hahaaaaaaa
Diamond ni MPUMBAVU!. Hata ukiwakusanya machangu wote anaohangaika nao wa hapa bongo na yule wa Big Brother sijui upumbavu gani, hawawezi kufikia hata Robo ya Zari.
Tena kama hajui anakwenda kuporomoka kiana hadi ashangae. Nani kati ya hao Mamalaya mwenye uwezo wa kumpandisha chat mwanaume kama Zari? Au hajui kama katembelea nyota ya Zari hapo alipo na sasa kajisahau? Hiki kimalaya kingine chenye macho kama kichawi, kitamwendesha kiswahili hadi asahau kuoga. Kitakahkikisha kinamfilisi kuanzia jina hadi akili.
Huyu kijana ni pumbavu sana.!