Diamond atoa mapovu kuhusu yanayoendelea mtandaoni

Huwa najitahidi na mimi niende na wakati kwa kushawishika kujua habari za kina Diamond na Zari ila kichwa changu huwa kinakataa kabisa.

Amefanyaje tena nijuzeni maana sina nijualo.
 
Mfa maji huyo ...Zari keshamuacha ,,kaumia ,,Basi anajaribu kusema yeye ndo kaacha hahahhaahahaa

Mwanamke akiwa hana njaaa njaaa Raha kweliiii
Hapa umeniacha kidogo. Inakuaje unasema kaumia na moyo wa mtu ni kichaka?!
 
Ali kiba ataendelea kuheshimika daima dumu ndani na nje ya muziki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…