Diamond atoa mapovu kuhusu yanayoendelea mtandaoni

Diamond atoa mapovu kuhusu yanayoendelea mtandaoni

Huwa najitahidi na mimi niende na wakati kwa kushawishika kujua habari za kina Diamond na Zari ila kichwa changu huwa kinakataa kabisa.

Amefanyaje tena nijuzeni maana sina nijualo.
 
Baada ya maneno kuzagaa kwamba kwa sasa yupo na mwanamke mwingine, wakati huohuo bado anaendelea na Wema Diamondplutnamz ameamua kuweka wazi na kuandika haya kwenye page yake ya Instagram:

View attachment 603029
34227f4a1a0512d564f2956658370fab.jpg
 
Back
Top Bottom