PRINCE PRIS
JF-Expert Member
- Mar 29, 2015
- 347
- 587
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa!"...nimesoma nikarudia sijaona tatizo la Azimio la Arusha, nikaona watu wakaitana kimya kimya wakaenda Zanzibar, waliporudi huko tukaona wanaongea chinichini, sie wenye akili tukajua ndio Azimio limekufa hilo..." Mwl. Nyerere
Huu umbea huwa mnaupata wapi? Maana wengine tuko limited kwenye matumizi ya mitandao.Zari kishakuacha endelea kutembeza mwenge, usiruke kijiji
Baba samira umeacha lini umbea?Huu umbea huwa mnaupata wapi? Maana wengine tuko limited kwenye matumizi ya mitandao.
Jaman hivi magu Bado hajawanyoosha tuu?Huu umbea huwa mnaupata wapi? Maana wengine tuko limited kwenye matumizi ya mitandao.