Diamond atoa mapovu kuhusu yanayoendelea mtandaoni

Diamond atoa mapovu kuhusu yanayoendelea mtandaoni

PRINCE PRIS

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2015
Posts
347
Reaction score
587
99478436d87ddd5eed98bebdb3d63f69.jpg
7acba7b9c38925f7fc36635a4018e1a4.jpg
 
Mange kimambi kanipiga bani kisa kumwambia aache kufatilia mambo ya diamond. Wasanii wanatafta kiki ili waendelee kutrend kwenye masiko ya watu.
 
Hii kauli yake imethibitisha kuwa hawako sawa na zari.
Sema dogo naye siku hizi hana kufuri zamani alikuwaga anpiga kimya
 
Na kuingizwa futi sita na kilo mbili ni yeye jamani..

Ha ha haaaa.. pia apunguzr kublock wadau wake instagram wakimshushia mapovu..

Lazima kaenda Uganda leo.. mashemeji hawajampokea kama zamani.. wanamnyoosha kidogo labda awabembeleze kuonana nao.. eeeh

Ila punguze hasira.. watajiju
 
"...nimesoma nikarudia sijaona tatizo la Azimio la Arusha, nikaona watu wakaitana kimya kimya wakaenda Zanzibar, waliporudi huko tukaona wanaongea chinichini, sie wenye akili tukajua ndio Azimio limekufa hilo..." Mwl. Nyerere
 
Unapojiona una usuperstar flan au umaarufu flan na una mashabiki wa pande mbili ni busara nzuri endapo utakua mtulivu kwa mashabiki hata kama wanakuboa si vizur kuwajibu au kurusha vijembe ... Ni kawaida msanii kupendwa na kuchukiwa ...........sasa huyu mwenzetu ndo matako yanalia vile wahenga walivosema au nayeye yumo kwenye albadili
 
Back
Top Bottom