Diamond atoa msaada wa mamilioni kwa aliyetobolewa macho na scorpion

Mamilioni kweli, naona katoa vibunda viwili tu.
 
Tuache unafiki jamani....huyu si nliskia baba ake mgonjwa??? Sasa kama unashindwa msaidia baba ako mzazi (hata kama alikukosea) kumsaidia mwingine huoni ni unafiki wa kiwango cha lami???
Tena cha ProPesa bwana yule kabisa aseee ila mungu amuongezee diamond na kumpa moyo wa kumkumbuka baba yake ata yeye amekua baba ipo cku
 
Tuache unafiki jamani....huyu si nliskia baba ake mgonjwa??? Sasa kama unashindwa msaidia baba ako mzazi (hata kama alikukosea) kumsaidia mwingine huoni ni unafiki wa kiwango cha lami???
Mkuu ukisema umesikia basi ni tetesi kiaina. Kumhukumu kuwa ni mnafiki bila kuwa na uhakika nadhani sio sawa
 
Tuache unafiki jamani....huyu si nliskia baba ake mgonjwa??? Sasa kama unashindwa msaidia baba ako mzazi (hata kama alikukosea) kumsaidia mwingine huoni ni unafiki wa kiwango cha lami???
Usiingilie mambo ya familia mkuu, huwez jua labda ndo mila yaoo
 
Back
Top Bottom