Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Jifunze kuandika Milion 2 ndio Mamilion
Shez wee
Tena cha ProPesa bwana yule kabisa aseee ila mungu amuongezee diamond na kumpa moyo wa kumkumbuka baba yake ata yeye amekua baba ipo ckuTuache unafiki jamani....huyu si nliskia baba ake mgonjwa??? Sasa kama unashindwa msaidia baba ako mzazi (hata kama alikukosea) kumsaidia mwingine huoni ni unafiki wa kiwango cha lami???
Mkuu ukisema umesikia basi ni tetesi kiaina. Kumhukumu kuwa ni mnafiki bila kuwa na uhakika nadhani sio sawaTuache unafiki jamani....huyu si nliskia baba ake mgonjwa??? Sasa kama unashindwa msaidia baba ako mzazi (hata kama alikukosea) kumsaidia mwingine huoni ni unafiki wa kiwango cha lami???
Usiingilie mambo ya familia mkuu, huwez jua labda ndo mila yaooTuache unafiki jamani....huyu si nliskia baba ake mgonjwa??? Sasa kama unashindwa msaidia baba ako mzazi (hata kama alikukosea) kumsaidia mwingine huoni ni unafiki wa kiwango cha lami???
Wangekua hawataki tujue wasingetangaza.Usiingilie mambo ya familia mkuu, huwez jua labda ndo mila yaoo
Mamilioni kweli, naona katoa vibunda viwili tu.